Unakuta kijana kaanza kazi
Miezi michache tuanachukua mkopo wa gari hapo anaishi nyumba ya kupanga
20% ya mshahara nyumba ya kupanga maana hawezi kuishi uswahilini
50% marejesho yamkopo wa...
Muindi wa kwanza
Nilifanya kazi kwake miezi miwili tu.daah kweli mzee Yule alikuwa na visa
Nilikuwa receptionist,secretary,administration.accountant,kilakitu
Saa moja keshanifata nyumbani...
wakuu mimi nina girl frend wangu ambaye alikuwa virgin na mpka sahv nimefanya naye mapenzi mara 5.tatizo ni kwamba mara zote 5 amekuwa akitokwa na damu kwenye uke wakati wa lile tendo na mara...
Kifo cha Rais wa Malawi, Bwana Bingu wa Mutharika na Msanii wa filamu wa Tanzania Bawa Kanumba (The great) vinaonyesha jinsi gani Afrika tunavyokabiliwa na changamoto ya ukosefu wa Huduma za...
Jamani habari zenu?nianze na historia fupi,miezi 8 nyuma nilipata kuunga urafiki na binti m1 kwenye mtandao wa fb,maongezi yalikuwa yenye kusisimua pmj na matani ya hapa na pale,miezi 4 nyuma...
Nimekaa bar naangalia show amekuja mwanamke na njemba wamekaa meza ya jirani wananuka harufu ya condom sijui jamaa limetafunia kwenye gari au pagale yaani hata show sifaidi nimeharibiwa utulivu.
R.I.P Kanumba
Ila umetuachia balaa, kama sio somo.
Jana nimeenda kwa dogo lasi umri kama wa mtuhumiwa ila yeye ni (22), mzee akagoma.
Nikajua ni uchovu wa kufuatilia mkutano wa CDM. Leo tena...
Nina mchumba wangu tunaishi sehemu tofauti tena mbali. Kuna tabia anaifanya sivutiwi nayo. Hii tabia ni ya kunibeep, kutuma tafadhali nipigie au naomba niongeze salio. Hii imekuwa ikijitokeza mara...
Ndg zangu wana jf.
Mwenzenu nimefumaniwa na"pasaka"
Yaani pasaka imenikuta nikiwa hovyo,sijui hata namna ya kutoka leo,mifuko yote imetoboka wakuu,tafadhari msaada.
Situmii bia,mimi yangu soda...
Natafuta msichana wa 18-35 ambaye hajaolewa na haishi na bwana. (only 4 fun) Ninaumri wa miaka 35, naishi Rsa nakuja Tz mara 2/3 kwa mwaka. Vigezo: awe anajiweza kiuchumi, mkweli, hanywi pombe...
Wakuu habari za weekend,jamani nisaidieni nifanyeje ili mpenzi wangu aelewa uzuri na utamu wa mapenzi ya kidigitali maana amenichosha na penzi la analogia kila nikimwambia tujaribu basi digitali...
Hayati Dr. Betty Shabazz
Malcolm Shabazz akipelekwa mahakamani
Malcolm Shabazz alivyo sasa baada ya kutoka jela
Malcolm Akiwa Hija Maka
Wasomaji wa JF, nimelazimika kuweka makala hii leo...
Ndugu wanaJf,
Nimekuwa najuliza kwa muda sasa kuhusu hii mikunjo ya usoni, wengine huita cheni au X, chanzo chake ni nini?
Huwezi kuikuta kwa watoto wadongo, ila kwa vijana na watu wa umri zaidi...
Life is sweet as nothing to compare.
Life is precious as nothing to compare.
Life is delicate as nothing to compare.
Life is sophisticated, life is complicated, and life is irreplaceable!
Wish...
Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye...