Mzimu wa Kanumba umeleta balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzimu wa Kanumba umeleta balaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Benno, Apr 8, 2012.

 1. B

  Benno JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  R.I.P Kanumba

  Ila umetuachia balaa, kama sio somo.
  Jana nimeenda kwa dogo lasi umri kama wa mtuhumiwa ila yeye ni (22), mzee akagoma.
  Nikajua ni uchovu wa kufuatilia mkutano wa CDM. Leo tena nimejikoki, ile natafuta skewness, nikahisi dogo ananikaba. Daa mzee toka asinzie kimyaaaaaa.

  Nadhani idadi kubwa ya dogodogo itapigwa chini sasa maana kama kujifunza tumejifunza.
   
 2. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  sijaelewa mkuu
   
 3. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Haya tumekuelewa naona na wewe umeamua ku post so unnecessarily isije ikawa kisa.....:bange:
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kula NGISI kamanda kwa wingi
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  hongera kwa thread!
   
 6. S

  SI unit JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Watanzania na matukio ya msimu. BT bado hujaanzisha uzi wako kuhusu hayati Kanumba?
   
 7. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,659
  Likes Received: 940
  Trophy Points: 280
  Bora hata wewe umejijua kwamba hujaelewa, mimi ndio sijui kama nimeelewa au sijaelewa
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  @SI, hata mie bado sijapata nitoke vipi ya hili tukio.
   
 9. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwanangu hii noma, jaribu kupata pilau kabla, may be dogo atahamasika
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  usisingizie kanumba matatizo yako ya kiafya.........
   
 11. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Heh nini kinaongelewa hapa..?
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Jamaa anasema kwamba:

  Jana alienda kwa mpenzi wake ambaye ki-umri anakaribiana na Lulu sema tu girlfriend wake ana miaka 22
  ,sasa katika ku-make luv jogoo akashindwa kupanda mtungi,so jamaa akaconlud ni uchovu wa mikutano aliyoudhuria ya CDM,lkn kesho yake akaenda tena kwa mpenzi wake katikati ya malovidavi demu wake akamuwekea mkono shingoni so ile pressure ya mkono akaisi labda anakabwa so jogoo tena akalala,mwisho anatoa maoni yake kwamba mabinti wadogo wadogo wenye age za kina lulu wataachwa sana na maboyzfriend wao kwa ajili ya tukio la binti lulu.
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Umeonaaaa eheee,ni matatizo yake mwenyewe na si tukio la the great!
   
 14. Mhoja

  Mhoja JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimekupata.
   
 15. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 16. B

  Benno JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unafaa sana, wengine hatuwezi longo longo nyingi. Tunajaribu ku summarize
   
 17. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Naona Radio mbao zimeshawasili.
   
 18. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hawa under age wanakanumba mkuu!
   
 19. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,995
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Aseee!!!! Msamiati mpya huu.
   
Loading...