Naumizwa na hii harufu

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Nimekaa bar naangalia show amekuja mwanamke na njemba wamekaa meza ya jirani wananuka harufu ya condom sijui jamaa limetafunia kwenye gari au pagale yaani hata show sifaidi nimeharibiwa utulivu.
 
Pole sana. Na kinachozuia wewe usiondoke pale ni nini?
 
Wewe inaonekana hujazoea kutumia,mwendo wa dry.
Nimekaa bar naangalia show amekuja mwanamke na njemba wamekaa meza ya jirani wananuka harufu ya condom sijui jamaa limetafunia kwenye gari au pagale yaani hata show sifaidi nimeharibiwa utulivu.
 
May be its true, Condom za 3 bomba huwa zinatoa harufu sana, kama una mke, na ni mwingi wa part time nje, usijaribu zitakuumbua na hasa kama huwa unazitumia nyumbani na wife.....
 
Back
Top Bottom