Kikwazo kaka mtu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwazo kaka mtu!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Black African, Apr 8, 2012.

 1. B

  Black African Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani habari zenu?nianze na historia fupi,miezi 8 nyuma nilipata kuunga urafiki na binti m1 kwenye mtandao wa fb,maongezi yalikuwa yenye kusisimua pmj na matani ya hapa na pale,miezi 4 nyuma tukapeana cm nomber,tuliwasiliana sana kiasi cha kila m1 kuifahamu life possition ya mwenziwe,love messages tulitumiana kila m1 akawa ana hamu ya kumuona mwenziwe,wiki 3 nyuma tulionana live kila m1 alithibitisha kuwa huyu ndie,wiki 1 baada kuonana ckuganda ksb alinivutia na signali zake zinasomeka poa hivyo nilimu-approuch tuwe wapenzi wa kudumu bahati nzuri kanikubali,hivi sasa penzi letu ni changa sana tuna siku 12 tu,hivi sasa wiki imepita cm yake haipokelewi,cku 1 kama zari imepokelewa akaniambia cm yake ameichukua kaka yake tangu cku hiyo leo ya 4 naipiga haipokelewi, kabla hatujaonana aliwahi kuniambia nyumbani kwao anabanwa sana kiasi cha kutembea haruhusiwi.Binafsi nina nia ya kumpenda kwa upendo wa dhati lkn kaka yake amekuwa kikwazo,kuhusu age she's 18 yrs old and me 21yrs old kaka yake umri sawa na mimi ,faida 1 kuwa mama yake yuko fair,wala haishi na baba yake.
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Patia yeye mimba
   
 3. S

  SI unit JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Shule kwanza mapenzi baadae
   
 4. B

  Black African Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ksb nina nia ya dhati sikusudii ktnharibia maisha kwani hata mimi nisingalipenda aniharibie maisha.by SI unity
   
 5. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  hujatueleza hata kama una ajira au unataka kutubebesha kazi ya kulea watoto wa mtaani.......lol
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  vumilia tu. If you are trully destined to be with each other mtafunga ndoa tu.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Maisha ya kitanzania 21 ana kazi? Wachache sana, hawa wanasaidiana kukua tu.

   
 8. S

  SI unit JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Unaonekana una munkari/mzuka sana na mapenzi kijana. I thnk umri wako ni umri wa kuwa college/university na umri wa binti at least form 5 ndo maana nimekuambia nenda nae taratibu. Ndege wako mwnyw manati ya nini? Kaka mtu hawezi zuia mdogo wake asipende/kupendwa, its the matter of time!
   
 9. c

  charlies ps Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ww na hicho kifaranga chako wote watoto,akil ya kitoto umri mdngo shule ndogo mapenz ya kitoto...unataka ushauriwe nin hasa?2mia kama mwanzo fb au hata hapo kaka ake atagoma?
   
 10. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,153
  Likes Received: 23,869
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha Kongosho bhana, sio kama wenzetu sio, 18yrs old, na yupo high school senior jioni anakwenda kibaruani Target store sio!.
   
 11. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  hivi umeshajipanga kimaisha kijana? it is too early even to think of it. muda huu kama upo chuo ungekuwa unawaza kuepuka supplementary au unawaza february ya next year.it is even ashame to bring your complain here. Go and think it over
   
 12. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Soma bwana achaa kulalamikia vibinti ukimtia mimba wazazi wako watasema sio yako manake wewe mdogo,ebu tuliza usome utazichoka hizo K kila siku zinazaliwa mpya....
   
 13. dorcas1234

  dorcas1234 Senior Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watoto wasiku hizi kazi kwelikweli,wazazi tufunge mikanda.
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  someni msikimbilie mapenzi
   
 15. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  naona umeanza na kumaliza na historia.. so unataka usaidiweje?
   
 16. z

  zee la weza Senior Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ulimkuta mbichi(bikira)?
   
 17. k

  kabye JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwambie akuonjeshe kwanza utoe kifuniko. alafu mwendelee kusoma atakuwa poa. mkuu biashara asubui jioni maesabu. chamuimu tpa kifuniko kwanza, but kama kishatolewa basi someni kwanza.
   
Loading...