Nilihudhuria semina ya vijana kuhusu mahusiano na ndoa kanisani kwetu,mwezeshaji katika kufundisha akaongela issue ya mdada mmoja ameolewa,lakini anasema yeye anapenda sana kutongozwa na wanaume...
Wadau MMU.
Asilimia 70 ya wanawake wana mahusiano ya kimapenzi zaidi wanaume watatu mpaka watano.
Hii tabia ya wanawake kuwapanga wanaume kila mmoja na majukumu yake inazidi kukuwa kwa kasi ya...
habari zenu wakuu.
imenilazimu kuandika hii mada baada ya kuona na kupitia thread nyingi zinazohusiana au zenye vichwa vya habari kama' natafuta mpnzi,natafuta mwenzi,natafuta muhogo,nataka...
Wanajamvi,
juzi nilikuja kwenu na sredi ya kumtusi mchumba wangu 1 and only baada ya kutupia kileo. .
Dah mola kasikia maombi yangu<na yenu kwa ambao mliniombea ajirudi>.
Amenisamehe leo na...
Here, tips for how to save a marriage and avoid divorce from 13 extraordinary people who believe in doing whatever it takes to sustain the biggest love of your life.
Whatever it takes...
Habari Za Jioni wana JF.
Naomba mawazo yenu ktk hili. Hivi, katika mahusiano mwanaume kumpa mwanamke hela ina maana gani???? hasa wanaume naomba mnisaidie. Je ukiwa kama mwanaume, una girlfriend...
Kwa takribani miaka 21 kuacha kuwa na mahusiana naye kwasababu maneno machafu na yanayochafua roho na kutojali kwake,nilidhani naweza msahau na tukawa marafiki but kiukweli namchukia baba yangu as...
Heshima kwenu wandugu, nimekuja na maada inanihusu mimi nitajaribu kuifafanua ili mpata uelewa zaidi na muweze kunipa ushauri wenu, najua wapo watako kebehi lakini mungu anajua nini nia yangu...
Jamaa alipomfumania mtu anaiba mkewe akakimbia kwa mganga, mganga by remote powers akawagandisha permanently kwenye ngono, jamaa akarudi akasema ili kuwabandua Mchawi anaitisha (anadai, Kiswahili...
Awe binti wa kuanzia miaka 18-24,awe tayari kuishi kama wana ndoa wanavyoishi (waleavyo familia). Awe mtu wa kufahamu maisha ni nini. Atakaye kuwa tayari anitafute kwa namba 0785454572. I'm...
Wenye hekima wa zamani walisema msafiri akianza kuona njia aipitayo imekaa ndivyo sivyo sharti kuomba msaada kwa waliokwishapita ati!
Hivi karibuni Mimi Petcash was with mtu mmoja mahali...
Wanaume wengi wanaotoka nje ya ndoa kwa sababu nyingi wanazo zifahamu mara nyingi wao hukosa hamu ya Tendo la ndo kwa wake zao na hii hutokana na Miili yao kuchoka na kushindwa kuitumikisha Kwenye...
ndoa za aina hii
1. ndoa hii mwanamke anapewa kila kitu mpaka kiberiti,haijalishi kama mke ana pesa au la ...ukija suala la mapenzi anapewa A anajua njia zote za kucheza na akili za wanawake...
Heshima kwenu brothers and poleni na majukumu,
Nahitaji kushare mawazo na wenzangu naomba wapondaji wakae kimya is only ushauri needed,
Mi ni kijana wa 25 yrs graduate and working somewhere in...
Love can neither be created nor destroyed but it can just be transfered from one gf/bf to another.
I will come for the proof and equation maana najua wanasayansi mtaanza kuuliza kuhusu kuprove.
Kaumia sana moyoni,kwa kashfa nilizotoa,binafsi hata moja sikumaanisha! .
Jana kaniambia tuachane,imeniuma,nakumbembeleza ! Nimemwambia nastop pombe kwa 2years. . .
Ni mchumba wangu,tuna malengo...
FOR OUR COTTON (SECOND) WEDDING ANNIVERSARY
(MARIE A. MAKULILO & ERNEST B. MAKULILO)
My Intimate Letter to my lovely wife, Marie Anna Makulilo
My Dearest Marie,
It was on Saturday May...
Katika utafiti wa hivi karibuni, watafiti wamegundua kwamba, wanawake wanawapenda wanaume wasio waoga na mashujaa kuliko wale waoga. Ushujaa wa wanaume ni kigezo kikubwa kwa wanawake kuwapenda...