TOPIC 2-Hamu ya Tendo la ndoa Mara kwa Mara kwa mkeo(Ni ishara tosha ya Uaminifu)

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Wanaume wengi wanaotoka nje ya ndoa kwa sababu nyingi wanazo zifahamu mara nyingi wao hukosa hamu ya Tendo la ndo kwa wake zao na hii hutokana na Miili yao kuchoka na kushindwa kuitumikisha Kwenye nyumba mbili.
Kinachotokea hapa ni kwamba Wanaume tunatabia ya kuzoea,kukubali chombo kinachokufurahisha na kukufanya uridhike.Kwa mantiki hyo sasa Mwenye chombo hicho atakusoma na kukuelewa kuwa uwapo nae usiwepo nae hutamani kumkosa hata kidogo.Na hata utoke kazini umechoka vipi utakwenda tu...hapa hata kama una nyumba ndogo lazima mmoja wapo umpe hadhi ya kushiriki tendo hilo kila siku.

Mwanamke atakugundua kama unatoka nje mahusiano kama ataamua kukuomba mtumie condomu,kwan baada ya ejaculation akaamua kukuvua na kuangalia sperm zako na akakuta sperm zipo kama majimaji hivi siyo kamasi nzito kama alivyowahi kukuona kipindi cha nyuma.

Pia atagundua kuwa hata umuonapo huwa hauna hamu nae,na hata kama utaamua kushiriki nae tendo hilo ni wazi kuwa hutamridhisha.

Kama atakwambia uzimwage nje atataka aone distance ya zitakavyoruka kama zitashindwa kuruka ni wazi wewe utakuwa una kamua sana.

Kikubwa ambacho wanawake hujivunia ni pale mwanaume anapo onyesha kumtamani sana mtu wake mwenyewe.yani kama ni mke bs lazima daily mechi ipigwe.
Haya ni mawazo yangu..

Updates-KWA WANAWAKE TU.
Kama una mume wako amekaa mbali nawe hata kuanzia mwezi mmoja na kuendelea siku atakayorudi chunguza yafuatayo.
(1)JE WAKATI WA EJACULATION MBEGU ZAKE ZINALUKA VIZURI.Kama atafanya withdraw mbegu zinatakiwa ziruke zivuke bega lako ukiwa umelala.

(1) Nenda nae bafuni wakati akipata haja ndogo anaweza kuurusha hata mita mbili.
Akishndwa haya jibu unalo,
 
Sio ishara ya uaminifu ila inaweza ikasaidia mtu kuwa mwaminifu.
 
Wewe hutufahamu wanaume, unapiga mizigo ya kando miwili tofauti alafu na nyumbani kwa wife unakandamiza usiku kucha cezea hamu wewe
 
Ni wachache mkuu mtu analala kwa kula supu ya mapupu huyo ndo utasema analishe bao moja tu udenda nje mchezo umeisha
Ndomana vijana wengi wakati wa haja ndogo hawawezi kuurusha hata mita 2,kila siku wanakula ugali matembelee na Wanamademu watano.
Aki do mara 1 povu linamtoka na visingizio vingi sana
 
Ndomana vijana wengi wakati wa haja ndogo hawawezi kuurusha hata mita 2,kila siku wanakula ugali matembelee na Wanamademu watano.
Aki do mara 1 povu linamtoka na visingizio vingi sana

Hahahaha malezi mkuu vijana wa sasa wanapewa malezi sio na wazazi wao unakuta mvulana analelewa kama mdada sasa huyo akikua si atakuwa na vitabia vya kidada dada zamani mtoto wa kiume unaambiwa ugangamale wewe ndo baba.
 
Hivi unawajua wanaume au unawasikia??kuna ambao ni wataalamu wa kubalance equation mpaka mwenyewe utasalimu amri!..

Bora mfundishe mwenzio maarifa maana kuna kitu bado hajakielewa kuhusu wanaume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom