Wanawake wengi wana mahusiano na wanaume wengi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wengi wana mahusiano na wanaume wengi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mshume Kiyate, May 9, 2012.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wadau MMU.
  Asilimia 70 ya wanawake wana mahusiano ya kimapenzi zaidi wanaume watatu mpaka watano.

  Hii tabia ya wanawake kuwapanga wanaume kila mmoja na majukumu yake inazidi kukuwa kwa kasi ya ajabu.

  Mwanamke wako akikuheshimu sana basi atakuwa na mwanaume mmoja.

  Unakuta mwanamke yupo kwenye ndoa yake lakini anasema wazi siwezi kuaacha ma boyfriends zangu.
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,738
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  Duh!Aise
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Source please!!!!!!!!!!
   
 4. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  And vice versa is true!!
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  itakuwa yeye mwenyewe tena inaonesha ni kidumu kama ni dume ndio maana yupo hivyo..
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  No research no right to speak.
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kuna wanawake wana bahati eeeh....
  mimi huyo mwanaume mmoja tu nimekosa.....
  kumbe ndo maana sipati mwanaume....
  kumbe wenzangu wamejiacummuletia macontena kwa macontena bana....
  oooh poor me smile...
  nitaishia kuangalia kwa macho..loh
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: we si unachagua...wenzako ni sagula sagula....
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  so nianze kusagula sagula....
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280

  Smile.
  Tupo wadau wa kumsaidia Rejao.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  yule hafai ritz yule jamaa yako mke wake anamsaliti vp? nimetulia kweli mimi sitomsaliti kula denda kwenye lift
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Avaya

  Avaya Member

  #12
  May 9, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Smile umeona eeeeh wengine hatuna hata wa kusagula kumbe kunawanaolimbikiza du jamani tuachien na ss
   
 13. J

  JOJEETA Senior Member

  #13
  May 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh makubwa jamni,hiv mbona topic za kukandia wanawake ni nyingi hv?sasa kwa nini na nyie wanaume mnakubali kupangwa ka mafungu ya nyanya?....by da way wanume wengi pia wanawanawake wengi.
   
 14. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Kwa sisi watafiti

  ukiandika hivi swali la kwanza ntakalo kuliza JE UNAUSHAHIDI wa ku justfy haya uliyoyanena??
  yaelekea ni maswali na majibu kwa mujibu wa halmashauri ya kichwa chako peke yako.
   
 15. n

  ngaranumbe Senior Member

  #15
  May 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngono ni mtihani na hata Mwinyi alisema kila mtu anapapenda; nakubaliana na huyu jamaa-usipojichunga kama wewe ni mwanaume waweza kutembea na wanawake 2 hadi 7+ kwa siku, wanawake wanatongoza wenyewe..
   
 16. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  ndio haswa maana ya .com! Lord have mercy!
   
 17. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kwa kifupi ye mwenyewe ni victim!!!
   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Walioolewa hawafanyi upuuzi huu?
   
 19. tomoko

  tomoko Senior Member

  #19
  May 9, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  katika masuala yoooooote ya mahusiano ya kimapenzi; wanawake = wanaume
   
 20. m

  mkulasabo Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naunga mkono hoja hasa kwa wale wa mijini
   
Loading...