Ni wakati gani hapana ni hapana?

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,998
Wenye hekima wa zamani walisema msafiri akianza kuona njia aipitayo imekaa ndivyo sivyo sharti kuomba msaada kwa waliokwishapita ati!

Hivi karibuni Mimi Petcash was with mtu mmoja mahali fulani...Nikampa zawadi...akasema hapana, nikamwambia mara mbili na mara tatu zaidi...still hapana...Nikajisemea basi bibie. Leo kwa upembuzi wangu yakinifu nikagundua ilitakiwa nimsubiri mpaka aichukue. Na sasa inanigharimu.

Msinielewe vibaya I beg of you.. (Nina uzoefu wa kutosha tu na sitaki nataka) na hata nikaja na utaratibu huu; Nauliza mara mbili tu kama jibu hapana basi najua ni hapana. Ila ni mara chache utaratibu wangu umeonesha kuwa effective..

Kwa hiyo enyi wenye uzoefu wenu katika hili mnisaidie, nisome alama gani kugundua?

When is her No a No , when is her No a Wait for a Yes and when is her No a Yes?
:A S-confused1:
 
Akishasema hapana ndio hivyo hivyo anamaanisha hataki, kama alikua anataka angesema ndiyo! Final and conclusive..
 
Sasa Purple na huo msemo wa 'mwanamke yake staha, kupewa kitu mara ya kwanza kukataa' unafit wapi sasa?
Akishasema hapana ndio hivyo hivyo kama alikua anataka angesema ndiyo! Final and conclusive..
 
Last edited by a moderator:
After workin hours brooo................tutaweka sawa hii mada hao ni wetu
 
Sasa Purple na huo msemo wa 'mwanamke yake staha, kupewa kitu mara ya kwanza kukataa' unafit wapi sasa?

i think am a bit diferent from the rest..mimi hua niko straight ,nikisema hapana ni hapana haiwezi kubadilika badae labda kama ni nyakati za utani!
Kwenye serious issues ndiyo=ndiyo na hapana=hapana siwezi kusema hapana nikimaanisha ndiyo and viceversa!
 
Last edited by a moderator:
Hapana yangu ya kwanza ni HAPANA. . .na nnachukia sana mtu anaeendelea kunifuata fuata akidhani ntabadili mawazo.
 
Kama ni zawadi, tumia carrier agent kama hataki atarudisha!

lla ili kumaliza hilo tatizo, kaa ongea naye; muweke mambo sawa ili aseme when anamaanisha ndio na when anamaanisha hapana. na muambie kabla kuwa hapana yake wewe unaichukulia kama hapana na ndio yake waichukulia hivyo hivyo.

Kama ni mtu wa maugomvi tu, then muignore! kwa upande wako it should also be the same, never make a promise just for the sake of it!
 
Hahah mi kuna 1 alinisumbua sana kama miezi 6 hadi akawa ananiita chizi kisa sitaki kumuelewa yeye ataki mahusiano na mimi.man niliendelea kupush slowly at the end of the day alijisahau nikampa ofa ya dinner.ilikuwa ni eat and run .mkuu kuwa mpole dawa ya wanaojifanya wajanja we kuwa kama njiwa at the end utakula mema then unamtupa kule wasumbufu sana
 
then unajiona mjanjaaa?kazi kweli kweli
 
Hahah mi kuna 1 alinisumbua sana kama miezi 6 hadi akawa ananiita chizi kisa sitaki kumuelewa yeye ataki mahusiano na mimi.man niliendelea kupush slowly at the end of the day alijisahau nikampa ofa ya dinner.ilikuwa ni eat and run .mkuu kuwa mpole dawa ya wanaojifanya wajanja we kuwa kama njiwa at the end utakula mema then unamtupa kule wasumbufu sana

we huna hata haya umemsumbua mwenzio kiasi hicho halafu ukishapewa unakimbia? ipo siku utapenda kweli halafu mwenzio atakuchuna na kuondoka.shame on you!!!
 
Lizzy Kaunga na Purple-Hebu msinibanie maujuzi dada zangu...fungukeni...Mnajua unakuwa sehemu ambayo huko comfortable kivile, yani kwa mbali unaona kama aibu fulani kwenye hiyo context (labda kuna other people ambao hujawazoea) yani kuna sababu genuine kabisa za kimazingira ambazo zinaafect maamuzi yako kwa kiasi fulani, Je ni kiashiria gani unatumia kuonesha NO yako ni Yes?

Hapana yangu ya kwanza ni HAPANA. . .na nnachukia sana mtu anaeendelea kunifuata fuata akidhani ntabadili mawazo.

Kama ni zawadi, tumia carrier agent kama hataki atarudisha!

lla ili kumaliza hilo tatizo, kaa ongea naye; muweke mambo sawa ili aseme when anamaanisha ndio na when anamaanisha hapana. na muambie kabla kuwa hapana yake wewe unaichukulia kama hapana na ndio yake waichukulia hivyo hivyo.

Kama ni mtu wa maugomvi tu, then muignore! kwa upande wako it should also be the same, never make a promise just for the sake of it!

i think am a bit diferent from the rest..mimi hua niko straight ,nikisema hapana ni hapana haiwezi kubadilika badae labda kama ni nyakati za utani!
Kwenye serious issues ndiyo=ndiyo na hapana=hapana siwezi kusema hapana nikimaanisha ndiyo and viceversa!
 
Last edited by a moderator:
it is not easy to understand women. ila kama she is your bestfriend lazima mtakuwa mmezoeana na kila mtu ana uhuru na mwenzie so hapo inakuwa rahisi kujua whether her No is No or a No is YES!!
 
Lizzy Kaunga na Purple-Hebu msinibanie maujuzi dada zangu...fungukeni...Mnajua unakuwa sehemu ambayo huko comfortable kivile, yani kwa mbali unaona kama aibu fulani kwenye hiyo context (labda kuna other people ambao hujawazoea) yani kuna sababu genuine kabisa za kimazingira ambazo zinaafect maamuzi yako kwa kiasi fulani, Je ni kiashiria gani unatumia kuonesha NO yako ni Yes?

Inategemea na level ya kujitambua ya mtu pamoja na exposure, believe me in my late teens when l started dating was like that; in my mid twenties when l was exposed and was living and working in a male dominated area; l changed a lot.

So if l remember correctly when l was that shy, when unatoa zawadi ilikuwa ina matter sana. Right after sex usitoe chochote au ahidi chochote. Toa zawadi mkiwa sehemu ambayo sex sio agenda of the day; na usimuulize just suprise her; epuka ahadi, just do them things unazotaka kumuahidi. Maneno machache na matendo mengi works pretty well with a shy gal.

Know her size na taste itakusaidia katika kutoa zawadi ambayo haitakuwa rejected.
Ni hayo tu kwa muda.
 
Ukiwa unampa mwanamke kitu, mtizame machoni, huwa hayadanganyi. Macho huwa yana-shine na zile pupils zina-dilate(Wabaolijia msianze risechi risechi, hii ya uswahilini kama ile ya maprof wamechanganyikiwa)

Anaweza jibaraguza lakini macho yameafiki, ni kama anakuambia kuku wako manati ya nini? Ni kama nasema mie wako haraka ya nini? Ni kama anasema niache nikusanye courage zangu kabla sijaweka komitment.
 
Bishanga, kweli wewe Bushoke
Hukomi tu?

tazama ramani utaona nchi nzuri,
yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
huyo dada Lizzy sio dada kweli!
.....brass band itaendelea muda punde......
 
Last edited by a moderator:
"Mimi na wewe? HAPANA, HAIWEZEKANI!"
"Mimi na wewe? Hata Misa hatuwezi kwenda pamoja."
"Mimi na wewe? Labda peponi kuwake moto."
"Mimi na wewe? Nikuambie mara ngapi? SIKUTAKI, SIKUPENDI!

Hayo ni maneno na mengine mengi aliyokuwa anaambiwa rafiki wakati anajaribu kumfuatilia msichana aliyehisi kuwa huyo anafaa kuwa mwenzake wa maisha. Na aliendelea kujibiwa hivyo zaidi ya mwaka, lakini jamaa alikuwa king'ang'anizi ajabu. Kwa kufupisha hadithi, waliishia kuoana miaka 11 iliyopita na tayari wana watoto wawili.

Ninachotaka kusema si kila HAPANA hukusudiwa hapana, na si kila NDIYO hukusudiwa ndiyo, ingawaje mimi nikiambiwa HAPANA hufahamu kuwa ni HAPANA.
 
Lizzy Kaunga na Purple-Hebu msinibanie maujuzi dada zangu...fungukeni...Mnajua unakuwa sehemu ambayo huko comfortable kivile, yani kwa mbali unaona kama aibu fulani kwenye hiyo context (labda kuna other people ambao hujawazoea) yani kuna sababu genuine kabisa za kimazingira ambazo zinaafect maamuzi yako kwa kiasi fulani, Je ni kiashiria gani unatumia kuonesha NO yako ni Yes?

Watu wengine, mazingira hayajawahi ku-affect maamuzi yangu maana siendeshwi na yana/wanaonizunguka.

Jaribu kuamini kwamba huyo bibie sio sitaki nataka uache kumsumbua. Kama ni sitaki nataka akiona umeacha kumsumbua atajileta mwenyewe na "kumbe ulikua unanitania ehhhh?" na mengine kama hayo. Kama sio atapumzika usumbufu.
 
Last edited by a moderator:
Hapana yangu ya kwanza ni HAPANA. . .na nnachukia sana mtu anaeendelea kunifuata fuata akidhani ntabadili mawazo.

Suala sio kubadili mawazo ishu ni kuwa wanawake mko vise vesa hasa wanaosema kwa ukali namna hii!
 
Back
Top Bottom