KaNISAMEHE. .SINywI TeNA. .

Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
591
Wanajamvi,
juzi nilikuja kwenu na sredi ya kumtusi mchumba wangu 1 and only baada ya kutupia kileo. .
Dah mola kasikia maombi yangu<na yenu kwa ambao mliniombea ajirudi>.
Amenisamehe leo na kunikana niachane na pombe,<final warnging>
Kwa sasa binafsi natangazA VITA against poMBE. .
 
ha ha ha, inaelekea umefika bei ile mbaya.

Good for u na hongera, ila ndo uache kikweli.
 
Take care bro. Ukikosea ukarudia tena Valuer, ni bayana Red card unastahili!
 
Mbona head ya thread inaonekana umechanganya viloba vya valieur na safari za kufa mtu?
Wanajamvi,
juzi nilikuja kwenu na sredi ya kumtusi mchumba wangu 1 and only baada ya kutupia kileo. .
Dah mola kasikia maombi yangu<na yenu kwa ambao mliniombea ajirudi>.
Amenisamehe leo na kunikana niachane na pombe,<final warnging>
Kwa sasa binafsi natangazA VITA against poMBE. .
 
Kweli chama chetu cha wanywaji umekiacha kabisa.........tafadhali rudisha kadi pliz na tusikuone tena
 
ha ha ha, inaelekea umefika bei ile mbaya.

Good for u na hongera, ila ndo uache kikweli.

ase mkuu . .Yani naacha for real, apa naongeza na blanket kesho town niwe najipa joto zaidi pindi mpweke. Mana aka kahali ya hewa ka chuga! .Si mchezo
 
where is Darhotwire when we need it??

on your gear! Abbreaviated as R. . . .
Ndugu nimekuja kutoa shukrani kwa wadau na kuwapa feedback baada yakunifariji,kama umekosa njia,rudi jf doctors wakakushauri dawa ya constipation
mytake:anza kwenda uwani na vaseline au baby jj
 
Kweli chama chetu cha wanywaji umekiacha kabisa.........tafadhali rudisha kadi pliz na tusikuone tena

she is more than chama mkuu...
Uwezi amini. . .But dah!Ndo hivyo,ngoja nioe haraaaaka mie,. . .Ntulie <<wanandoa plz tusitishane. .
 
Huna ujanja wa kuacha pombe mwenyewe labda serikali ipige marufuku uzwaji na unywaji wa pombe au uje kwangu kuelekeze cha kufanya!
 
Back
Top Bottom