Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni muda mrefu tu natafuta mchumba lkn sijampata ambaye nilikuwa namuhitaji sasa najiuliza je? nikisema nimuowe yeyote tu sitapata taabu hapo mbele ya safari au nifanye nini? maana nina hamu...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Do you think it is ok to let a 9 year old to the shop/park/ friends??
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf Mi ni mgeni nimejiunga nanyi baada ya kuvutiwa na michango yenu ya kila siku na napata mafunzo sana, Naombeni ushirikiano wenu nawapendajeeeeeeeeeeeeeeee Asanteni n mbarakiwe
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimekutana na ripoti ya utafiti mmoja inaonyesha kuwa wanawake wengi hawapendi wanaume wanaonyoa nywele zao za chini zote (katika pubic area) kwa madai kuwa wanaume wanaonyoa nywele hizo zote ni...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
DUNIANI KUNA VITUKO: By Paul Thompson A police officer faces criminal charges after he posed as his identical twin to have sexual intercouse with his brother's girlfriend. Jared Rohrig, 25...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
ivi inakuwaje mwanamke anafika kileleni kwa mda mfupi sana kisha anasema yeye hawezi endelea ametosheka? Kwa maranyingi husikia hawa viumbe huchelewa sana! Au huyu mwenza wangu anatatizo au mimi...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Jana wakati nimemaliza kuangalia mechi tamu kati ya Man untd na Everton,tulijikuta tumekaa nje nyumbani vijana kama wa-4 hivi,kiumri wote tuko kwenye 30's,kati yetu aliyekua ameoa ni mmoja na...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
It hurts so much whenever I hear a man crying over a woman he love, coz the same thing is happen to me crying over the man I love. I am an independent young woman, i happen to meet this man for...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Quand j'ai regardé pour un amant, il est devenu très difficile pour moi, mais je crois qu'il faudra quelques jours pour que la femme à venir me. Maintenant, c'est pas facile pour quiconque...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hili swala sijui kama limewakuta wengi,iweje wapenzi mliopendana na kushibana kwa kila jambo kwa mda mrefu wakati linapookea jambo la kuwatenganisha kuna kua na chuki kali kati ya watu hao,?nn...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
This iz ma first time to appear in JF, After being disapointed one of the person miongon mwa niliowasimulia alinishauri nifanye hivi yani ni join JF, Nakuwambia members hasa wanawake wapweke kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naitwa Joel,nina umri wa miaka 32,nimejiajiri mwenyewe,nina urefu wa futi 6 na mwili wa kawaida,rangi ni mweusi.mkristo.mengineyo tutafahamishana baadaye.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ni mara nyingi tumekuwa tukiona swala la mapenzi kama kitu kidogo katika maisha kusalitiana na kuumizana kimekuwa kitu cha kawaida.jambo hili si zuri hata kidogo tunapaswa kuheshimu swala hili na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hebu fungukeni maana nataka kulinganisha kama sijapunjwa na mama Ngina..........................LOL
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Ni kwel mapenz hayana formula na huwez jua lini na wapi utafall in love na kwa nani,lakin sasa ni namna mtu ufanye ili kuhakikisha unampata mwenza sahihi,kwenu wana JF
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani eti kuna uwezekano wa kumtoa msichana bikira halafu asitokwe na damu!!? maana me sielewi
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Kuna mkaka nimemkuta anasema jana hakuna kitu alichofaidi kama **** za bure kwa sababu sikukuu wanawake wanalewa sana na kujisahau kwa nn sikukuu tunafanya ndo siku za maovu?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF. nahitaji msichana mmoja mwenye kujitambua kwa ajili ya serious relationship na wala sio kupotezeana muda. umri usizidi 25yrs. nina 27yrs. please aliye tayari ani PM, tutaanza kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa...
12 Reactions
129 Replies
10K Views
exual satisfaction is one of the key factors that make a relationship more enjoyable and fulfilling. Although there are other aspects that make or break a relationship, realistically speaking...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…