Mwanamke: Umemuandalia nini mumeo/familia yako sikukuu hii ya Eid? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke: Umemuandalia nini mumeo/familia yako sikukuu hii ya Eid?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Aug 19, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Hebu fungukeni maana nataka kulinganisha kama sijapunjwa na mama Ngina..........................LOL
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Karibuni wageni, japo chakula chenyewe kidogo.......................................
   
 3. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Msosi muhimu
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  nimeandaa makande ya nyama, togwa na matikiti maji.
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mweh, kwani lazima mkaribishwe..................!
   
 6. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Napita tu naona hainihusu.Hlafu Mtambuzi unasema uone kama hujapunjwa in mana mshakula sa nne hii
   
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Duh, nimekuzidi kidogo..... kumbe sijapunjwa basi.....................
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimechungulia maandalizi ya jikoni mjukuu wangu........... huu uzee nao huu
  Ndio maana naambiwa nazeeka vibaya
   
 9. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Tabia mbaya ungesubiri kije mezani ndo uone au hukutoa pesa ya matumizi ya kutosha so umepata wasiwasi au mamangina huwa anapiga panga bajet?
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nilishikwamna udadisi tu..................... Si unajua leo ni sikukuu.............
   
 11. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Mzee mwenzangu Bishanga na my wife wake pia na yeye kanitumia mualiko......................................
   
 13. NyotaMalaika

  NyotaMalaika Senior Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mbona mama Ngina kavaa nguo ileile ya mwaka jana?,hujamnunulia mpya jamani?
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mzee Mtambuzi, hivi anayetakiwa kuandaa ni mwanamke au mwanamume?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mie nakata kachumbali na kutengeneza chanchandu.............................
   
 16. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Nyama choma muhimu...............................
   
 17. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  ODM Mzee Asprin unatisha................ Nakuona hapo unavyomsaidia my wife wako kuandaa msosi...........................................
   
 18. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #18
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  nyumba kubwa na familia yake nao hawapo nyuma katika kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitri...................LOL
   
 19. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Babu umeniangushaaaaaaaaaaaaaa!mwanaume wa kiafrika hachungulii jikoni babu!anasubiri aletewe mkekani!we ungesubiri bibi alete kikiwa kimefunikwa na kawa babu!hapo umemkosea mama ngina!mtake radhi kwa kanga doti moja yenye maneno haya'mimi na wewe milele"af wala husemi ni kwa ajili ya nini!kwa kuwa bibi atakuwa ni mwanamke wa kiafrika atajua tu unamuomba msamaha.ahahahaahhahhahhaha
  EID NJEMA babu DC
   
 20. mito

  mito JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,612
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  Jamani wana MMU hata hatualikani kwa idi?
   
Loading...