Mabinti v/s wake za watu v/s wamama(single) . . . . . .!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabinti v/s wake za watu v/s wamama(single) . . . . . .!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Aug 21, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Jana wakati nimemaliza kuangalia mechi tamu kati ya Man untd na Everton,tulijikuta tumekaa nje nyumbani vijana kama wa-4 hivi,kiumri wote tuko kwenye 30's,kati yetu aliyekua ameoa ni mmoja na mkewe amesafiri.Ulizuka mjadala na nilikuta ninachotetea niko peke yangu.Mjadala wenyewe ulikua kati ya mke wa mtu,wanawake wenye umri mkubwa na mabinti walioko single ni yupi ukiwa na uhusiano nae unapata raha?Binafsi niliwaambia,mke wa mtu unaweza kuenjoy lakini unakua hatarini hivyo huwezi kufurahi 100% na siyo sahihi.Mabinti wana changamoto zao ambazo zimekua zikitushinda vijana wengi,lakin still hao ndo tutawaoa na hatutakiwi kuziogopa changamoto hizi za mabinti.Wanawake wenye umri mkubwa na walioko single(37-50)hawa ni kweli wanajua kujali,wakweli n.k,lakini vp ukitaka kuoa?Sidhani kama hawa nao ni sahihi kwetu vijana.Wenzangu katika kuchangia walionekana kuvutiwa zaidi na wake za watu na hao wamama.Kabla ya kulala nilijaribu kuchat kwa sms na jamaa zangu kama wa 5 hivi nao walisema yaleyale.Ndipo katika tafakuri nikagundua hatari iliyopo.Kwanza uaminifu kwenye ndoa za sasa unazidi kushuka na muda si mrefu utafikia 0.Pili,tatizo la vijana kuogopa changamoto na kutopenda kuwajibika ni janga kwa taifa,tusipowajibika na kusubiri kuliswa na wake za watu na wamama,tutakua taifa la hovyo sana.Pia wakina dada walioko single (ambao hawajaolewa)nao wameingia kwenye mbio za kiushindani na makundi haya ya wanawake,ambayo kimsingi wao (walio single) ndo hitaji la wanaume liko juu (kuolewa) Wewe unafikiri kifanyike?Je wadada wapunguze changamoto zao dhidi ya vijana wa kiume au ukali wa maisha nao unachangia vijana kukimbilia hao wanaoonekana kutokua na gharama?
   
 2. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu hao wanaotamani kutoka na wake za watu ndiyo huwa ni chanzo cha kuvunja ndoa za watu..
  Mi nashauri wale walio single watafute walio single wenzao..waachane na ndoa zawatu.,na wenye ndoa zao nao watulie kwa ndoa zao.
  Hii ndiyo husababisha mitandao ya kimapenzi.
  JIULIZE TUKO WANGAPI??? Nawasilisha mkuu..
   
 3. mbisom ramos

  mbisom ramos JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Waliokuwa wanatetea kuwa bora wake za watu waliji defend kwa point zipi!? yaan kwanini ni bora kuwa na uhusiano na mke wa mtu!?
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Asulo umeongea vizuri, na kwa kuongezea tu vijana wengi hukimbilia kwa wake za watu kwa kukwepa majukumu ya kutoa huduma kwa wasichana walio wa umri wao. Wanafahamu kuwa wake za watu wanahudumiwa na waume zao na pia hawawabani sana kwenye maisha yao ya kila siku wanapokuwa na wapenzi wao wengine. Ni jambo la kusikitisha sana.

  Mi nafikiri ni vyema vijana kujitambua na kujiheshimu na kuachana na tabia mbaya za kula vya watu. Wanawake walioko kwenye ndoa nao wanatakiwa kuziheshimu ndoa zao na kuacha kuhangaika na kujirahisi kwa vijana hovyo hovyo maana kwa kufanya hivyo ni kuhatarisha ndoa zao na afya za familia zao. Na mwisho wakina baba tulio kwenye ndoa na sisi tujitahidi kuhudumia ndoa zetu vizuri na hasa wake zetu na kuachana na nyumba ndogo ili kujenga upendo na amani ndani ya nyumba na kupunguza au kuondoa kabisa dhana ya kusalitiana ndani ya ndoa. Tukumbuke kuwa, wanandoa wakiwa wazembe na kukosa uaminifu, watambue kuwa wanahararibu mustakabali wa maisha ya watoto wao.

  HP
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. mbisom ramos

  mbisom ramos JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Nimekupata mkuu!!!!
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,331
  Likes Received: 2,635
  Trophy Points: 280
  Kwa nini mtu unahangaika na mke wa mtu au jimama lilikuzidi umri miaka nenda rudi....
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Haya twende kazi............tushafungua tayari.............
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  Kila umri una raha kutegemea na kitu apendacho mtu.....

  By thre way wewe na wenzio muoe jamani miaka 30's hamjaoa mnataka mkioa NSSF zenu mtumie kulipa ada ya chuo? Vijana oeniiiiiiiiiii
   
 9. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hebu hapo mdau twende sawa,unajua mahusiano ya kimapenzi ni raha na sio mateso,kuna changamoto zenye mantiki lakini zingine na hasa hizi zilizopo kutoka kwa mabinti ni upumbavu,siwezi kuita changamoto bu ts hell in a cell,we unaona kijana anahangaika na maisha ni hatari,unashindwa kutambua hilo instead unamgeuza baba yako kwa maslahi yako ya kishenzi. unategemea kijana atakaa na kukuvumilia,ndo maana vijana tanaamua kumove out na big mamaz coz they care.so kama watabadili katiba za maisha yao ya kipuuzi bac tunaweza kufanya mchakato wa kurud.but otherwise mmmmmmmmmmmhh!!! watalenga nyota kwa mawe.
   
 10. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Point kubwa ni kuwa mke wa mtu hata kudai wewe hela, sana sana atakupa hela, wewe kazi yako ni kupanda tu unavyotaka. Na unalipwa , basi.... wasichana walio single wanataka kwenda na wakati saloon, umpe simu, vocha, usafiri na disco...beach sasa vijana waliochoka wanaona hilo ni tatizo.
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Matumizi hakuna sanasana wao ndo hupewa hela!
   
 12. mdida

  mdida JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  MMMHHH kwa hiyo wanaume na nyie mnataka kuhudumiwa? sasa hii sheria ya UK nmakubaliana nayo au? ninataka kwenda saloon nipe hela wala mie siombi unatoa mwenyewe.
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu unahasira sana inaonekana!!
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Kwa kifupi anakugeuza dingi!!
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Hii ngumu kumesa aiseeeeeee!!
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  jiulize mko wangaapiii
   
 17. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Si wanataka vya bure!!!
   
 18. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Tuoe nini wakati ndoa hakuna? Ukitaka kuvuruga furaha ya maisha yako ao/olewa.
   
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,952
  Likes Received: 1,825
  Trophy Points: 280
  namtamani sana babu DC hapa.
  unajua vijana wa siku hizi sijui ni nini ila kiukweli ni waoga sana wa maisha na wao wanategemea life ambayo ni mdondo so matokeo yake ndo yakutoka na wake zawatu. kiukweli mimi kama mama kuliko nitoke na kiserengeti boi bora nikatafute zee lenzangu kieleweke ila kitoto cha nini sasa?
   
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,952
  Likes Received: 1,825
  Trophy Points: 280
  khaaa! hivi kweli kizazi gani hiki? hope huu ni utani sitak kuamini ninachokisoma hapa.
   
Loading...