Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Usijidanganye mwanamme mwenzangu kuwa kuna siku utamridhisha mwanamke kwa lolote,kuanzia kwenye kumgegeda mpaka masuala ya kawaida, wanawake wengi wao akili yao kama kuku,ukimpa mchele juu...
16 Reactions
96 Replies
14K Views
Kwa wenye mnajua ngeli twende kazi. Mr magical power, post and hide id. I want you guys to tell me if my husband really loves me. Immediately I was married my hubby and his mother brought me two...
1 Reactions
8 Replies
879 Views
Mimi ni kijana ambae nimeoa hivi karibuni na nilikua na akiba yangu kama milion5, imepotea katika mazingira ya kutatanisha yaani siioni tena nilipoieka na chumbani nakaa mimi na mkewangu tu Ila...
2 Reactions
132 Replies
11K Views
Tumo humu kujadiliana mambo ya mahusiano kwa kuwa kuna mtu anaitwa Maxence Melo na wenzake usiku na mchana wanahangaika tuwe humu tena tukiwa salama. Melo kakamatwa na bado anashikiliwa na Polisi...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimeoa mwanamke ili kumukomoa mwanamke ambaye nilimpenda kwa dhati ambaye nilikuwa naye mahusiano kipindi cha mwaka mmoja. Tuliahindiana kumuoa ila doto hizo zilizimika pale nilpomununulia simu ya...
3 Reactions
103 Replies
13K Views
Leo siku yangu imeharibika kabisa, kuna huyu mdada niko naye mwaka wa pili sasa kwenye mahusiano kumbe ni mke wa mtu bhana. na siku zote ananiambia hana mume mtoto wake aliye naye baba yake...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna watu wanashangaza sana. Unakuta mtu anahangaika kuitafuta namba yako hadi anaipata. Halafu akishaipata anaanza kukupigia simu. Na kila ukipokea na kusema 'haloo' mwenzio anakata simu. Halafu...
2 Reactions
86 Replies
6K Views
Habari wadau, Aisee hiki kimekuwa ni kipindi kizito sana katika sehemu ya maisha yangu baada ya kujikuta nilimuangukia kimapenzi mtoto mmoja ambaye alitokea kunielewa sana kipindi naanza 1st year...
40 Reactions
252 Replies
27K Views
Salaam wakuu, Hivi mnaofanya hivyo mnapata faida gani kwa kutunga stori za uongo uongo? Mara umeachana na mke kisa kakunyima kipochi manyoya na wengine sijui mmemkula mama mkwe! Acheni hizoo...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Duh!! Kuna kabinti kamoja kazuuri sana yaani Wema anaigiza hiyo inye Masogange cha mtoto yani kaenda hewani kama Uwoya hivi yani in general ni shida. Nilikafahamu mwaka jana December kama hivi...
20 Reactions
121 Replies
11K Views
Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume...
16 Reactions
40 Replies
3K Views
Hapo vipi, Embwana kuna msichana mmoja hapa kitaani , japo mimi pande hizi za kwao mimi ni mgeni coz sina hata miezi 3,sasa siku moja nimetoka zangu kwenye mishe zangu mara nikakutana nae maeneo...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Unajua baada ya mwanamke kumpata mwenza wake wa raha na shida huwa mara moja moja wengine wanaendelea na zile tabia zao za zamani au mahusiano mengine yasiyo rasmi lakini huwa waangalifu sana...
16 Reactions
118 Replies
14K Views
Jamani, my man has truly outdone himself this Valentine’s! Yaani sijawahi kufanyiwa hivi before, I feel so loved and spoiled. 😍 Morning surprise? He brought me breakfast in bed—hot tea, pancakes...
11 Reactions
67 Replies
2K Views
Nilijuaga hivi visa ni kwenye bongo movie tu😂 Binti mzuri, chocolate skin, honest looking, very simple hadi alikuaga ananiamsha usiku tusali ahah mtoto yule wa kilokole😂 Nilimjulia wakati...
2 Reactions
8 Replies
475 Views
Naendelea kushuhudia kuongezeka kwa matukio ya baadhi ya familia watoto hasa wengine wakiwa na miaka 17 wakishirikishwa katika kusuluhisha migogoro ya wazazi wao. Inawezekana hali hii inatokana...
1 Reactions
8 Replies
608 Views
imagine umeshaonana na binti mara kadhaa mmeshapiga piga love stories na nini na mambo mengine tayari umeshamtoa mtoa out mara kadhaa na kumrushia voucher. unakuja mwambia njoo home weekend...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
kukua na kupanuka kwa sayansi na teknolojia kumekuwa na matokeo hasi na chanya katika jamii. kupanuka kwa matumizi ya simu na mitandao ya kijamii kumeleta changamoto katika mahusiano ya kimapenzi...
22 Reactions
94 Replies
11K Views
My man kafulia jamani , before mambo yalikua mazuri alikua anahudumia kila kitu kuanzia rent, my expenses na kila ninachohitaji. Ila recently tangu last year December Yani mambo yamekua ovyo sana...
12 Reactions
122 Replies
5K Views
Wasalaamu, Katika kautafiti kangu kafupi nimegundua wanawake wengi wenye chura, uwezo wao wa kupambanua mambo ni mdogo na wengi wanaumizwa sana kunako . Wengine akili zao chache zilizopo...
14 Reactions
84 Replies
13K Views
Back
Top Bottom