Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Zamani mahusiano au ndoa ilikuwa ni watu wawili kutengeneza kesho yao, na watoto wao lakini leo imebadilka ndoa imekuwa sehemu ya mwanamke kujitafta kiuchumi, akijipata anaondoka bila kujali...
1 Reactions
0 Replies
323 Views
Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu...
1 Reactions
0 Replies
287 Views
Wassalahm allheikhum Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Salaam jamiiforum Nyuzi zangu nyingi zimejikita Kwa vijana wadogo ambao wengi hawajaoa,na ndiyo wapo hatarini zaidi kwani ni rahisi kukuta kijana mwenye miaka 30 ameteswa zaidi na mapenzi kuliko...
2 Reactions
10 Replies
782 Views
Hivi kweli Kuna mapenzi matamu kwa mke na mume kwenye ndoa Au mm nilikosea wapi? Duniani kuishi ni maramoja tu. Je? Nikubali kwamba mm raha ya mapenzi nitaionea kaburini. Au nifanye tu maamuzi...
8 Reactions
97 Replies
4K Views
Wenyeji wa jamvi salaaam. Nimekua nikijiuliza mara nyingi juu ya wale wanaume wanaobahatika kupendwa sana na wanawake fulani waliokaribu nao iwe kazini, vyuoni, mitaani n.k halafu huwa wanakataa...
2 Reactions
249 Replies
23K Views
Nimekubali maneno yenu wanajamvi juzi nlipoleta uzi ulohusu Meseji ya G9t alontumia mamkwe akinisisitiza kwamba mimi na mke wangu "tujitahidi ili usingizi wetu uzae matunda", wengi wenu mlisema...
11 Reactions
148 Replies
15K Views
Hili jambo linanifikirisha sana. Sababu hasa ni nini. Kijana wa Kitz akipata hata Getto tu basi humo Mademu watajaaa. Atabadirisha mademu kila sikh, hapo geto lina Tv, Kitanda cha chuma na...
29 Reactions
80 Replies
3K Views
Asili ya maisha ni kuforce tangu kuingia mimba (wakati wa tendo hadi jasho) hadi kuzaliwa kiasi wengine hadi njia inaongezwa (poleni wanawake). Huo ni mfano mdogo tu wa asili ya maisha kuwa ni...
1 Reactions
2 Replies
580 Views
Niseme tu nilikuwa napenda hela Sana, yaani ulikuwa ukinitongoza tu unalipia.mwanaume nikitoka nae out akinirudisha asiponipa hela yaani nablock mazima .ila toka niwe na akili za kutafuta hela...
44 Reactions
154 Replies
12K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ninaishi na mwanamke ambae tumepanga kuoana na kufunga ndoa. Nilipokutana na mwezangu nilikuwa nafanya kazi serikalini kwa mkataba. Kipindi chote hicho...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Nimeona nizungumzie hili wanaume wenzangu kama unahitaji mpenzi wako afurahie shughuli yako ya kitandani jitahidi kufanya mazoezi ili uwe mwepesi kuhakikisha unapumzi ya kutosha hivihvi jamani...
20 Reactions
115 Replies
5K Views
Kuwa na utambuzi bandia , kuna faida nyingi lakini vile vile kuna ficha mengi na kutatiza mengi pia.. Utambuzi bandia huleta hali ya kujiona wote tuko sawa kiumri, kiufahamu, kielimu, maono hata...
65 Reactions
351 Replies
21K Views
Hamisa Mobeto amewapa heshima kubwa mno single mothers wote, jana amelipiwa mahari milioni 30 na ng'ombe 30. Hii ina maana watoto wake wa nje hawajawa sababu ya kushusha thamani yake, amewazidi...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
wadau huyu Dada tumshauri nn? Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa! Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume...
39 Reactions
284 Replies
15K Views
Unajua Mhusiano bado ni Mada pana Sana lakini tugusie leo kitu kidogo tu kwenye swala la Game. Mwanaume always akiwa na mtu lazima awe na hisia naye hivyo basi yeye hawezi chukia tendo, Lakini...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Ni kile kitendo cha kutokea mwanamke na kumwambia nakupenda, nimejaribu zaidi ya mwaka lakini nikubali tu kutongoza imenishinda aisee. Jumlishia pesa yenyewe ya kuunga unga! Naweza kumpenda...
2 Reactions
87 Replies
10K Views
1. Huyo unaemnunua anamvulia kila Mwenye pesa hata kama ni kichaa, ivyo wewe msafi unavyoenda kushiriki nae unajivisha Maroho machafu kwa starehe ya dk tu🤦‍♂️ 2. Hivi unatambua baadhi ya matajiri...
20 Reactions
56 Replies
3K Views
To all nice guys, these modern women doesn't want anything serious, they just wanna have fun. Kama wewe ni nice guy tambua kwamba upo katika kizazi ambacho ni hatari kwa afya, akili na uchumi...
26 Reactions
40 Replies
2K Views
Nimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..#ametokea mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa...
4 Reactions
175 Replies
12K Views
Back
Top Bottom