Habari wanajf...
Natatizwa na hili swala jaman nisaidieni
Hv kuna madhara yoyote kuendelea kuwasiliana na x-boy /x-girl wako,wakati unadate na mtu mwingine??
Nahitaji msaada wakuu
wanajamvi! Mie n kijana w kitz,nimebatika kusafiri nchi kadhaa ktk east afrika. KTK pitapita zangu,nimepigwa na butwaa na kubaki nikishika tama!!nimetafuta suluhu kw wengi...
Pale wapenzi wanapofumaniana au pale mmojawao anapokuwa na hisia za kusalitiwa,msalitiwa humuuliza msaliti:'kwani huyu/yule ana nini ambacho mimi sina?' Ni swali gumu kwa wengi.Wengi hubaki kimya...
@
Mjisikie huru kuweka wimbo wowote ule iwe Bongoflava, taarab, zilipendwa, za kikabila, bolingo n.k. katika kusherehekea kuuaga mwaka wa 2012 na kuukaribisha mwaka 2013.
Heri ya Mwaka Mpya...
nawashuri wale wote ambao hamjafungwa katika jela ya mapenzi fanyeni hima mje gerezani,mwenzenu naingia mwaka wa tisa huu gerezani raha tupu,au hamjui ilipo mahakama za mapenzi ? Wajuzi waambieni...
Hii imetokea leo mlimani city eneo ilipo bank ya nmb, ambapo jamaa mmoja mtanashati alipogongana uso kwa uso na njemba moja iliyokuwa imeongozana na mke wake sijui yule. Yule mdada alikuwa...
A young girl about to go on a 1st date with her boyfriend was been tutored by her grandma.
"He will try to kiss you, allow him. He will try to cuddle you, allow him. He will try to lay u down and...
Heri ya mwaka mpya wadau....
mwaka huu 2013,ni mwaka wa vijana bachelors to get wenzi wao......Njia ni kusali kwa bidii,pia Mwaka wa ajira pia,
Ikibidi fanya Novena ya siku...
Jamani kabla ya kumaliza mwaka nimeona nitoe dukuduku langu la moyoni kuhusu huyu dada anaeitwa gfsonwin KI ukweli NAMPENDA SANA NA HUWA NAJIKUTA WEAK BILA SABABU YA MSINGI HASWA NIKIKUTANA NA...
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!!!
IGWEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Mwaka mpya na salamu jipya)
Kwanza kabisa guys LIKE JF FACEBOOK PAGE TO SUPPORT JF!!!!!!! M pesa imewashinda hata...
Hivi karibuni kuna dem aliniambia eti wanaume weupe hawajui mapenzi japo nilishangaa sana Sasa nimeona nije hapa jukwaani kuuliza je jambo hili ni la kweli?basi karibuni kwenye mjadala.
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!
Peopleeeeeeeeessssssssssss!!!!!!
Jamani ile tabia ya ubesteee na Mume/Mke wa mtu wa kukolea japo hamfanyi chochote jamii inauchukuliaj! Mfano wa company ya...
Iwe Idd Mubaraq or whatever, people wanangonoka sana! Iwe Xmass, New yr, ngono sana! Hivi kuna uhusiano gani kati ya ngono na sikukuu? Watu wanatoka na wapenzi wapya, wanacheat sana, hivi sikuu...
Ikiwa Idd Mubaraq or whatever, ngono sana, ikiwa xmass, ngono sana, ikiwa new yr, suala ni hilo hilo! Hivi ni lazima kungonoka katika siku hizo au kuna nini kati ya sikukuu na ngono?
nawasalimum wote ndugu zangu:
hapa nilipo nahisi ubongo wangu kufloat kabisa na kushindwa kufikiri,msichana huyu wa kazi nimeishi naye muda mrefu sana na amenilelea watoto kwa muda wote,ni...
Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya ujao 2013 Muda huu nipo na laptop kuna jambo limenipa utata Rafiki yangu wa miaka mingi anaishi mkoa fulani kusini amenialika kwake na nimeingia leo. Nimefika...
Habari wanajamvi wenzangu,
natumai mko fiti kabla sijamaliza mwaka huu nimekuja na kitu kingine leo ambacho kitawafanya wadada na wamama zetu kuwa makini na watu wa aina hii ninaowaelezea hapa...