Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hapa mtaan kuna msichana m1 mwaka wa2 ktk chuo kimoja maarufu nimekua nae ktk mahusiano km mwez wa3 now, ana SugarDaddy ake na ndo aliyempangishia chumba na kutoa huduma zote ila halal ni anakuja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa wa MMU, leo ni siku ambayo ni ya historia katika maisha yangu. Ni miaka kadhaa iliyopita yapata 14 sasa nimeamua kuishea pamoja na nyie ili mshereheke pamoja nami. Nilikuwa...
23 Reactions
91 Replies
21K Views
Gezeti la Majira la leo limejinadi kwa kichwa cha habari " Diwani wa CCM adaiwa kufumaniwa, ang'olewa meno matatu, akatwa sikio la kulia. Na wa CHADEMA kortini akidaiwa kubaka mwanafunzi" My take...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani nimetokea kumpenda huyu dada...naomba ushauri wenu nitampataje? Please i need constructive ideas
2 Reactions
174 Replies
10K Views
Jana katika pitapita zangu nilikutana na mwanamke aliyebeba mtoto mgongoni akiomba msaada kwa wasamaria wema ili mtoto wake akatibiwe malaria.yule mama alikuwa akilalamika kuwa mtoto wake pamoja...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Hii nimeikuta kwenye JUKWAA LA SIASA, nikaona bora ije huku kwetu Nina mahusiano na dada mmoja mtoto wa Polisi ambaye kwa macho yangu namuona mzuri sana na kwa kifupi nimeshindwa kumuacha japo...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Ivi wadau maana ya first love ambayo inaxumbua sana kina dada ni nini ni yule wa kwnza kummenya au yule wa kwanza kumpenda?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
=Musoma Mara= Mimi ni mgeni wa mji huu. Tulipoingia na jamaa yangu kikazi, sikuona haja yakujifungia vyumbani, nilimwomba jamaa tutoke kuzungukia maeneo ya kupumzikia. Nilichojifunzatukiwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Natafuta msichana wa ku date nae awe mzuri na mwenye kujua mapenz awe mwenye adabu awe mzuri awe juu ya miaka kumi na nane 18 kama yupo naomba ani inbox tuwasiliane ... #serious #
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mkaka mwenye miaka 27 nilikutana na mdada mwenye miaka 24 facebook tukaanza kuchat na hatimaye tukafikia uamuzi wa kua wapenzi. Aliniambia hakuna kwenye mahusiano kama nilivyokua mimi...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
MINISTRY OF LOVE NATIONAL EXAMINATION OF ROMANTIC NOV.15,2012 TIME:2 HOURS SECTION A Answer all question 1.Define word love 2.Explain what do you understand by...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukitaka ndoa yako idumu uvumilivu wa hali ya juu unahitajika
0 Reactions
30 Replies
3K Views
A friend of mine has been married for five months now but she says that she has lost the love for her husband. She wants to file a divorce if possible because the guy annoys her alot. However the...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari zenu,jamani mfano umeajiriwa na unamwezi kazini,alafu akaja mtu from no where akaja na agenda kua umeforge vyeti,na alilipeleka swala kwa HR,baada ya siku mbili unafukuzwa kazi bila hata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Men should pay women for sex?That’s what it is, at heart, if you have sex for money. You just have to get past the whole concept that the thing is ‘evil’.can we discuss the validy for man paying...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
An Indian man has spent nine months living in a TREE because his wife refuses to say sorry for cheating on him. The man, known only as Sanjay, walked in on his partner and a next-door neighbour...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Teo ni mcheza mpira USA.miezi iliyopita kulikuwa na breaking news kila sehemu eti girlfriend wake amefariki na mama mkwe wake ( tragic death) walimhoji na alilia sana live Kwenye Tv .Alisema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba ushauri juu ya híi cm ya mke wangu. Tulianza urafiki tu kama miaka mitatu ivi wote tukiwa chuo. Kwa wakati huo alikuwa na cm nzuri aina ya samsung ila kila tukikaa nae alikuwa...
6 Reactions
124 Replies
19K Views
Jamani ninachukia sana watu wasiokubali hali walizonazo i mean za kwao. Unaweza kukuta mtu kwao life ni hard but akiwa shule au chuoni full kujisifia mara kwetu kuna hiki, mama yangu ni hivi...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…