hii yawezekana?

hii yawezekana?

oldd vampire

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
253
Reaction score
52
habari zenu,jamani mfano umeajiriwa na unamwezi kazini,alafu akaja mtu from no where akaja na agenda kua umeforge vyeti,na alilipeleka swala kwa HR,baada ya siku mbili unafukuzwa kazi bila hata kukuchunguza,alafu kumbe sio kweli umeforge,je hii yawezekana?from what i know ni mpk board ikae wachunguze,
maana kuna my frnd hapa boyfrnd wake kafukuzwa kazi na alieenda kuripoti kua huyo boyfrnd kaforge vyeti ni ex boyfrnd wa huyo my frnd,sasa analaumiwa hana raha kabisa,she feels so guilty kumuachisha mtu kazi,sijui hata nimsaidieje
 
mwambie huyo rafikio achunguze vizuri......kuna kamba anafungwa Na si ajabu ni mbinu ya kumwagwa inatafutwa....
 
Inawezekana ndiyo maana imewezekana kwa huyo rafiki yako. Isitoshe inategemea ameajiriwa vipi. Kama ni kwa kufuata sheria na taratibu hili haliwezekani ila kama ameajiriwa kwa kujuana hili ni dhahiri kabisa.
 
Poleni sana mkuu. Cha kumsaidia hapo ni asubiri maBus yaendayo kasi yaanze kufanya kazi akaombe kazi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Inawezekana ndiyo maana imewezekana kwa huyo rafiki yako. Isitoshe inategemea ameajiriwa vipi. Kama ni kwa kufuata sheria na taratibu hili haliwezekani ila kama ameajiriwa kwa kujuana hili ni dhahiri kabisa.

aliajiriwa kwa kufuata sheria na taratibu za kazi,wala hajafanyiwa mpango,yeye anadai kua pale ofisini kuna manager wa kitengo chake hapatani nae,so kesi ilipo fika kwake kama leo then kesho akafukuzwa
 
Back
Top Bottom