Ndoa yahitaji uvumilivu wa hali ya juu phew!

Ndoa yahitaji uvumilivu wa hali ya juu phew!

Rukwa21

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
142
Reaction score
42
Ukitaka ndoa yako idumu uvumilivu wa hali ya juu unahitajika
 
Kuishi na mwanamume yeyote iwe hata kwenye urafiki ni kazi
sio jambo dogo
 
Ili uvumilivu uwepo, make sure your ndoa is worthy it!
 
Keshakuzoea huyo, keshaanza mechi za nje huyo. Ndivyo walivyo hawa vyenge! wewe vumilia tu hapo kitandani
 
haki nachukia wanaume wanaotesa wanawake mimi, acha tu si mtuwache tupumue jamani??????????????
 
Back
Top Bottom