Manchid
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 218
- 469
Hivi ni kweli kuna dawa za mvuto wa mapenzi? Yani dawa inayoweza kufanya umpate msichana yeyote unaemtaka. Na kama zipo na zipata wapi?
Maana kuna mtoto ananisumbua mwaka wa pili huu hataki kuelewa na nampenda kweli, nimetumia mbinu A mpaka Z but sifanikiwi.
Maana kuna mtoto ananisumbua mwaka wa pili huu hataki kuelewa na nampenda kweli, nimetumia mbinu A mpaka Z but sifanikiwi.