Maringo kibao, kumbe hamna kitu maseee!

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,732
2,477
Aseee, Mimi ndie.
FREE ERICK KAFLAG!

Eeebana! last weekend niliamua kumeet na mwanamke mmoja hivi niliechat nae mtandaoni kwa mda kama mwezi hivi (sio JF), wakati tunaongea kwa phone asee mtoto ana sauti nyororo iliyokua inapelekea nyoka wangu kutoka pangoni.

Nilivyokutana nae sikuamini!, Msee wangu, kumbe uzuri ule yalikua ni mapicha tuu na camera 360, ma edit kibao mazeee!

Duh! KwanzA ana umbo namba 9, sura ya kawaida sana alongside Bonge ya ziwa kama dafu mazeee!

Duh! Ebana tunaharibiana nauli punguzeni kujiedit mitandaoni,aaaagh!

Minikaona nimpe tuu nauli asepe zake asee nikamwambia Nina emergency, maana alikua amekuja kwa ajili ya kuliwa.

Aaah ila mtandaoni sasa kila demu mzuri mazee, ujuaji mwingi kumbe ni wa kawaidaaaa!!
 
Usikute na yeye kaenda kukuanzishia uzi sehemu wa kukuponda.... NAKANDAMIZIA.... Kwanza jamaa sijui jogoo hapansi mtungi..!!?? Maana kaniita nimefunga safari kaishia kunipa nauli ya kurudi..!!! Hutu timwanaume twa kutiamini miitandaoni ni shida sana...MWISHO WA KUKANDAMIZIA
 
Kwani hicho sio kitu ?

Mbona haya maombo ni vitu vya kawaida kwa dada zetu pande za nyanda fulani.., sasa unataka waende kwa nani ?, Mkuu someone poison is others meat....., cha muhimu chagua kikufaacho mengine waachie wengine.. (by the way hizo camera zilipunguza ukubwa wa kifua ?)
 
sielewi
 
Hata akisema hivyo ni sawq tuu, mimi silagi mizoga naipotezea
Usikute na yeye kaenda kukuanzishia uzi sehemu wa kukuponda.... NAKANDAMIZIA.... Kwanza jamaa sijui jogoo hapansi mtungi..!!?? Maana kaniita nimefunga safari kaishia kunipa nauli ya kurudi..!!! Hutu timwanaume twa kutiamini miitandaoni ni shida sana...MWISHO WA KUKANDAMIZIA
 
Na hili ndio tatizo, mwanaume mzima unajisifia kukimbia mbunye kisa sura na Shepu, ni matumizi mabaya ya urijali
KATIKA HALMASHARI YANGU YA UBONGO, KUNA KITENGO CHA TBS, KAMA DEMU HAJAKIZI VIGEZO NAMKATAA MZEE WANGU
 
Back
Top Bottom