Kila mtu anatakiwa kupata haki yake

Kila mtu anatakiwa kupata haki yake

Shamuse_bey

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2026
Posts
467
Reaction score
596
Habari za jioni wa jf, sisi sote tunabwaswa tutambue kwamba HAKI YA MTU ndio kitu pekee humfanya mtu kuishi kwa amani, na isije ikatokea kati yetu tukakosa amani eti kwasababu ya kunyimana haki zetu, kwahiyo hakuna haja ya kuzurumiana, kuibiana, au kuto jali haki ya mtu mwengine kwa maslayi ya mtu binafsi bali tuwe vipaombele kwa kutetea haki ya mtu,rafiki na ndugu isije ikapotea haliyakua unauwezo wa kuitetea au kuisimamia isipotee. Yangu mimi ni hayo.
 
Ndio nn Sasa.....?
Haki gani unayo izungumzia ww kwenye jukwaa la mapenzi...?
 
Habari za jioni wa jf, sisi sote tunabwaswa tutambue kwamba HAKI YA MTU ndio kitu pekee humfanya mtu kuishi kwa amani, na isije ikatokea kati yetu tukakosa amani eti kwasababu ya kunyimana haki zetu, kwahiyo hakuna haja ya kuzurumiana, kuibiana, au kuto jali haki ya mtu mwengine kwa maslayi ya mtu binafsi bali tuwe vipaombele kwa kutetea haki ya mtu,rafiki na ndugu isije ikapotea haliyakua unauwezo wa kuitetea au kuisimamia isipotee. Yangu mimi ni hayo.
Haki ni tunda la amani
 
Back
Top Bottom