Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika ndoa mwana ndoa mmoja (mwanaume) akiwa hatumii pombe lakni mwanamke anatumia kutakuwa na athari zozote zitakazoweza kupelekea ndoa kuingia ktk migogoro???
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Hili huwa najiuliza bila majibu, Kwanini hasa inapofika kipindi cha kutafuta mwenza huwa tunachagua aliyemzuri wa sura na mrembo asilia ama dukani? Jambo hili lipo kwa binadamu wa jinsia zote.
0 Reactions
38 Replies
6K Views
*Wadau wa JF, MMU, naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu. *Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni: * kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Mungu ni mwema sana na ni waajabu pia, matendo yake hayaelezeki,yanatisha na wakati mwingine ukimtafakari sana unaweza usifike mwisho wa tafakari yako. Na mwisho uwaweza sema kweli Mungu ni wa...
40 Reactions
78 Replies
9K Views
Habari zenu wana MMU, I salute you all!!!! Kichwa hiki cha habari kimenifanya nikumbuke tangazo moja la mtandao wa simu za mkononi, hapa kazini kwetu imetokea kweli yaani habari yenyewe ilikuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Mwanamke atembee na kalamu ya chuma mkononi tayari kuwatoboa macho. 2. Tembea na kikopo cha ----- (kijijini) 3 Uwe na kucha za kuwaparua kwa ajili ya DNA test 4 Tumia kiatu chako cha stilleto...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
I am a Tanzanian, mixed (mtanzania na mturuki). degree holder,Mfanyabiashara, Tall, white. Criteria 1.Binti mbantu halisi 2. binti mwenye haiba ya kudeka deka (napenda kubembeleza) 3. sibagui...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wana JF, Kuna kisa kimoja ambacho ni issue live mwanamke kaachana na Mumewe na kurudi kwao na kupangisha chumba chake ila hakai hapo ni anakaa kwao na kisa kagundua Mumewe ana Mwanamke mweingine...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Habarini ndugu zanguni wapendwa?Tunamshukuru yule mweza yote muumba kwa kutuweka tukiwa hai na salama siku hii ya leo ambapo tunaendelea kuivuta hewa yake safi na kujadili mambo mbalimbali...
3 Reactions
183 Replies
27K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 21 nimekaa na mpenz wangu zaidi ya miaka minne..na katika faragha uwa nampa haki yake kisawasawa, lakin toka nimeachana nae kila nikichukua mwanamke mwngne mashne yang...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
MI mimi ni mvulana(21) bado nasoma . natafuta msicha awe na umri 17-21mrefu awe na rangi yoyote nimeamua kwa sababu nimechoka kupenda nisipopendwa na hisi huyu ajae atanipenda pia tutapendana :)
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mambo jamn,ndo hivyo nimepigwa marufuku kutumia internet hapa msaada pls.
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Usisubiri shukrani. Ilikuwa pasaka ya mwaka 2007 usiku wa saa saba usiku. Nilikuwa natokea kwenye mizunguko ya pilikapilika ya pasaka kama ilivyo kawaida ya sikukuu ndani ya bongo. Nilifika kawe...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
You probably are well aware of the fact that orgasms occur because of muscle contractions in the body, combined with an increase in blood pressure.A result of intense pleasure, when it comes to...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF,katika kipindi cha hivi karibuni nimegundua mpenzi wangu ana mahusiano na mtu mwingine japo wako mbali mmoja yupo Dar na Mwingine Arusha,hawa watu wanafamihamina kwa muda mrefu ,sina...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Hay wanajamvi wenzangu Leo mwenzenu nimeona nifurahi zaidi ya kfurahi kwa jambo ambalo Mungu amenitendea leo mwenzenu,nimebahatika kukutana au kuona jambo langu ambalo nilimwomba Mungu kwa muda...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Sina vigezo wala masharti, Ili mradi anapumua Asanteni,
2 Reactions
39 Replies
3K Views
eti jaman hii kitu inanishangaza kwa kweli,kuna manzi yangu mmoja hivi nikiwa naongea nae kwa simu nyakati za usiku,kunamtu huwaanampigia,sasa yeye anachofanya nikuhold on namba yangu(yani kama...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
IGWEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Marafiki ni watu tunaokutana nao tu katika hustles za kimaisha, mashuleni, makazini na kitaa. Ni watu mnakutana mnapendana kuliko hata ndugu, you make a bond...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…