Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Mhhhhh! are you serious!? Unatafuta mchumba halafu huna hata vigezo ali mradi tu anapumua!!!!! unajipenda kweli weye au unafanya utani!?

Sina vigezo wala masharti,
Ili mradi anapumua
Asanteni,
 
nina babu yangu anatafuta wa kumfia kiunoni atakufaa sana.
 
Mhhhhh! are you serious!? Unatafuta mchumba halafu huna hata vigezo ali mradi tu anapumua!!!!! unajipenda kweli weye au unafanya utani!?

Just line up for heaven sake BAK, unapumua inatosha, yeye ndo ataamua katika wale wanaopumua amchague nani?

Kwa namna alivyondika watajitokeza wachache sana,na itakuwa rahisi kwake kufanya uamuzi....!! :lalala:
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya Michelle 🙂🙂 nimefurahi kukuona jamvini baada ya kupotea kwa kipindi kirefuuuu ....Michango yako ya kina inakosekana.

Last edited by a moderator:
baadae mnakuja na mada ndoa zimewashinda,ukipata mlevi je?
 
Haya Michelle 🙂🙂 nimefurahi kukuona jamvini baada ya kupotea kwa kipindi kirefuuuu ....Michango yako ya kina inakosekana.

Nafurahi kukuona hapa pia,nilimiss michango na mijadala hapa JF na nashukuru hapa ni nyumbani,unaweza rudi tu wakati ukiruhusu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli kabisa Michelle hapa ni nyumbani na umaarufu wa hili jamvi unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi hivyo kuvutia wanachama wapya kila siku.

Nafurahi kukuona hapa pia,nilimiss michango na mijadala hapa JF na nashukuru hapa ni nyumbani,unaweza rudi tu wakati ukiruhusu.
 
Last edited by a moderator:
Justin kumbe ameoa sina jinsi,am moving on

Pole...usiumie sana
Ila hapo juu ungejieleza kwa kirefu umri wako, wapi unapatikana, kimo chako n.k nadhani ingalikuwa rahisi kumpata mwenzi.
Jitahidi kuwa makini na walanguzi wa mapenzi, wasije ikaanga roho yako inyauke kama mti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom