Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za jioni Wana MMU. Poleni na uchovu wa kurudi kazini na uchovu wa Pasaka. Mie ni mzazi wa ka baby kenye umri wa miezi 6 na nusu. We are doing okay tunamshukuru Mungu. Tatizo ni kwamba...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
I hope ni wazima wanajf,katika pitapita zangu nimegudua kitu kuhusu kiss, mara nyingi mkiwa mnapiga kiss na mpenzi wako hasa kiss ya face 2 face mmoja au wote lazima mfumbe macho, ni kwanini...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hamjambo waungwana wangu Mwenzenu leo sasa nimeingia kwa kupindapinda na kunyooka kiasi Ishu niliyoingia nayo leo ni khusu hawa ndugu, marafiki, makaka na mababa zetu kiujumla sitaki kuwaita...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
Bandugu nna hakika mko poa sana,, pamoja na majanga ya kitaifa yanayotupata... maisha lazima yasonge.. Naomba tusaidiane hii kitu: Jamaa alikuwa anasafiri,, wakati anapack, mahabuba wake (mkewe)...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hellow JF, napenda kuimba(gospel sana),kuogelea sana, kutembea,mpira(man utd) na kusaidiana. Nazungumza Kingereza vizuri pamoja na Kiswahili,I'm fun,charming,friendly,easy to get along with,honest...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Siku hizi kuna idadi kubwa sana ya madada wenye vitambi (siyo mimba).Ni bia za OFA hizo. Asilimia kubwa ya madada hawa ni hatari kwa kupenda OFA za bia. Aisee wanakunywa bia haoooo....che che che...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
1.The Whispers- And The Beat Goes On 2.Prince- When Doves Cry 3. New Order- Blue Monday 4.Salt n Pepa- Push It 5.Bon Jovi- Living On a Prayer 6.Michael Jackson- Billie Jean 7. Run DMC and...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
As far as stereotypes go, a wandering eye and the urge to jump into bed with multiple partners seems to be built into a man's DNA, but when it comes to cheating, the sexes are created more equally...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanawake wenzangu msijirahisishe kwa wale age yangu mnamo 20 someni sana maisha yanavoelekea sasa tofauti na watoishi wazazi wetu. Wanaume hawako serious wala msimamo kwa ajili yako.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
{Kisa chenye kusisimua} Maisha kati ya wanandoa ni maisha yanayo hitaji ikhlashwi na ukweli toka moyoni na subra ya hali ya juu, ... na yatakiwa kila mmoja kati ya wanandoa awe tayali kwa lolote...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
naomba kama kuna m2 anajua mwanamke ambaye siku zake za kupata hedhi zinabadilika badilika anaweza kupata mimba siku zipi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni kweli kuwa sio jambo jema kwa mabinti kung'ang'ania mashugadadi na kuwatosa wachumba ambao wana nia ya kuwaoa On the other hand, nashindwa kuwalaumu baadhi ya mabinti ambao ugumu wa maisha ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Rafiki yangu mmoja ana miaka takriban ishirini kwenye ndoa ya kikristo. Hakuwahi kupata mtoto kwenye ndoa yake. Baada ya kukaa kwenye ndoa miaka kumi na mitatu, akakutana na dada mmoja muislamu...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
waleo sijui wamekuwaje hawana mapenzi ya kweli waleo sjui wamekuwaje wa poteza dira kwa mapenzi ya kwenye vidoe waleo sjui wamekuaje wana kuwa na muonekano feki kuanzia nywele,nyusi midomo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mm nina umri wa miaka 26 now, nimemaliza Sheria Chuo Kikuu Mzumbe ila sijabahatika kupata kazi bado. Imetokea nimependana sana na dada mmoja ambaye ni Kaimu Mchumi wa Halmashauri fulani ya...
1 Reactions
128 Replies
12K Views
L ove + Care = Mother Love + Fear = Father Love + Help = Sister Love + Fight = Brother Love + Life = Wife / Husband Love+Care+Fear+Help+Fight+Life = Friends
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Pitapita yangu leo nimekutana na matangazo mawili yanayofanana: La kwanza likiwa limeandikwa hivi... "SUPER MAPENZI MVUTO - ni dawa ya mvuto wa mapenzi, humvuta mume, mke, mchumba au mpenzi...
0 Reactions
0 Replies
14K Views
Ukitaka Kubadilika Badilisha Pia Mfumo Unaotumia Kuwasiliana Na Watu, Jifunze Kuwasiliana Vizur Na Watu. Kila Siku Tafuta Nani Umjue Na Nani Uwasiliane Vizur, Hata Kusema Asante, ni kitu kikubwa...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Kijana wa kitz hapa,natafuta mwanamke awe mpenzi wangu na baadae awe mke wangu,umri wangu ni miaka 29,umri wa nimtakae ni kuanzia 18 hadi 40,nina mtoto mmoja wa miaka 7,dini yoyote mradi tuelewane...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hbari zenu wanajamii forum kuna rafiki yangu mmoja yupo katika wakati mgumu sana baada ya x wa boyfriend wake kugoma kukubali matokeo kwamba wameachana kwani mdada analazimisha kuendelea na...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…