Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

inabidi tu leo niseme mwanamke mimi! eti mimi nimewabatiza wanawake wote wanotembea na waume wa wenzao na kuwaita vibaka wa ndoa! is it a very negative name au ni sawa? kwa nini hatwtulii nao...
0 Reactions
117 Replies
9K Views
NIliosomanao ISENGA S/M MWANZ nawatafu,philibat chando{chogo} mdogowake lei chando.lugalema lwiza{mcholaji} sami msindai{bonde la ufa} mtoto wa mgana msindai.chilistina joseph. magera machumu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana JF, Maandiko matakatifu biblia na kuran Zote ZInasisitiza kutofanya tendo la ndoa mpaka kuoa/kuolewa.Kama mdada/mkaka atakuwa na mahusiano mengi kabla ya ndoa basi ujue hata...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Padre aliye kuwa akisoma chuo cha Ardhi Dar Celestine John Nyaumba wa kanisa katoliki Homboro Dodoma, amemjeruhi mpenzi wake vile vile ni mzazi mwenzie wa maili mbili Dodoma alimwita Dar aje ale...
1 Reactions
73 Replies
11K Views
Ilikuwa mwaka 1995 nikiwa niko kidato cha nne. Unajua tena shule ambayo nilisoma ilikuwa ya wavulana tu na isitoshe haina A-Level. Mwaka huo mimi nilikuwa kinala hapo shuleni japo shida ya maji...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Nikijana mwnye umri wa 22 tu natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa mungu akipenda. Please women ncheck piusincredible@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Oh no! At first I could not understand whysomeone would call a grown man “honey” “sugar” or “sweetie” because it seemedweird. I could only say that to the babies. As time passed, I realized that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Oh no! At first I could not understand whysomeone would call a grown man “honey” “sugar” or “sweetie” because it seemedweird. I could only say that to our babies. As time passed, I realized that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume, 37 years of age, ni baba wa watoto wawili, wote wa kike, nimezaa na mwanamke mmoja, watoto wote, aliyekuwa mke wangu kabla ndoa yetu haijavunjika (sababu baadae). Nina masters...
4 Reactions
67 Replies
6K Views
....nakumbukia ya Ngoswe; Penzi kitovu cha uzembe... ...hivi mapenzi ya makazini (flirts & flings) ngumu kuepukika ee? ati no strings attached,khaa? Muwe na wikiendi njema aisee, nimepita...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Mnamo 2010 baada ya hustleling za shule na stress za kusubiri matokeo.niliamua kujiunga kampuni moja ya kuzalisha vinywaji vikali hapa dsm. kama kawaida ya kibarua dili zake kubwa ni kupenya na...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu kuna hiki kitu kimekuwa kikinitatiza saana kujua chanzo halisia cha wanandoa kutoelewana kila kukicha wakati wa uchumba wao walikuwa wanaelewa na walikuwa pamoja kwa kila kitu. Hivi hiki...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wasichana wengi siku hizi wanaumia kwa sababu they always looking for handsome guys wa ku date nao, kuzaa nao na hata kuolewa nao. Mnadhani maisha yanaishia kwenye picha za harusi jinsi...
12 Reactions
48 Replies
5K Views
Wana jf, niko serious! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, ni mwajiriwa! Naomba kwa msichana yeyote aliyetayari kuwa mke na anayepatikana ndani ya ruvuma! Sifa zake ni kama ifuatavyo: 1. Awe...
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Huyu aliyefariki jana kwa kujiua ni wa 6 kati ya marafiki zangu ninaowajua, na sababu kubwa ni mkewe, na kati ya hao wote visa vyao ni kama vinashabihiana. Yeye alikuwa anaishi tabora na ameoa...
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Waliooa waliowazidi kipato hawana ufanisi WANAUME waliooa wanawake wenye mishahara mikubwa au vyeo kuwazidi wao, huathirika kisaikolojia wakati wa tendo la ndoa na wengi wao hutoka nje ya ndoa...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu wa MMU heshima mbele sana, Poleni na majukumu ya wiki nzima.Naombeni kujua mitizamo yenu juu ya hili... Ni mume/mchumba anaishi mtaa mmoja na baadhi ya wafanyakazi wenzie ambao ni wadada..i...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Naomba msaada wenu wana Jf. Hivi, Barua ya Posa inaandikwaje? Lengo la barua ni kuomba uchumba na kuoa (Ndoa/Harusi). Sasa wajameni, saidieni. Tafadhali mwenye kuweza aitupie hapa jamvini...
1 Reactions
9 Replies
42K Views
Habari wana jf; Nina kaka yangu wa karibu sana ambaye anatafuta mwanamke atayekuwa tayari kumzalia mtoto. Bro wangu huyu amehangaika sana, kila mwanamke anayempata hataki kuzaa naye kwani kaka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…