Craig
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 1,676
- 3,143
Mnamo 2010 baada ya hustleling za shule na stress za kusubiri matokeo.niliamua kujiunga kampuni moja ya kuzalisha vinywaji vikali hapa dsm. kama kawaida ya kibarua dili zake kubwa ni kupenya na mzigo unaozalishwa ili mradi akitoka apate pesa za ziada. namimi pia sikuwa nyuma. nilikuwa nahakikisha kila nikitoka na load mzigo wa kutosha(viroba). nilikuwa navaa suruali pana na socks ndefu usawa wa magoti. ambazo zilinisaidia kuiba bila kushtukiwa kirahisi.pamoja na mkwara mkali wa G.M. Niliamini bora kufa kishujaa kuliko kuishi kwa aibu.( Get reach or Die Trying).
Katika harakati zangu za kutafuta wateja nilibahatika kuingia bar moja maeneo ya ilala na kumkuta dada mmoja counter. baada ya kumsomesha alinielewa na akasema ameniamini hivyo awe mteja wangu wa kudumu. Baada ya muda sikulaza damu, mtoto white figure kimodo sura ya mvuto. nikawa nimemmaindi kinoma. siku ya siku nikamtolea uvivu. akanipromise itabidi mpaka off yake ndo tukutane. basi tukakutana kwa ajili ya mambo yetu yaleeee! kwa kuwa mimi nilikuwa naishi zangu single gheto. nilikuwa namfuata kazini mpaka afunge. mida flani ya saa tano usiku. then tunasepa gheto. hapo tena ni kubanjuka mpaka kunakucha. yeye alikuwa akiishi na mtoto wake na msichana wake wa kazi.kutokana na ukubwa wa ile bar na jina lake town na ukichukulia yeye ndiye alikuwa counter. yule dem alikuwa anajiweza. kipindi mimi namsubiri hapo kazini kwake tuondoke. nilikuwa sikai kama nasubiri majibu ya ukimwi. nilikuwa nagonga vyombo vikali. VAT69,GRANTS,JOHNWALKER.NK. kwa maana hiyo wakati wa gemu nilikuwa na Horsepower. demu alikuwa anaomba msamaha kwa adahabu. tena nilikuwa situmii kinga nilimuamini sana.
Siku moja wakati nipo pale bar kuna mhudumu mmoja alinivizia wakati natoka maliwato. akanambia kaka samahani huyo counter wetu ni muathirika muda mrefu. akili kichwani mwako. nilihisi yule dada anaona wivu mapenzi yetu. kwa kuthibitisha hilo niliamua kumtomgoza kwa kufikiri kuwa kama aliyonambia nikweli atanikata lakini akikubali na muongo. baaada ya muda nilimtokea akakubali. wala sikufanya ajizi. nilidate naye tena naked & twice. siku moja nikiwa nimelewa niliropoka kwa yule counter. Nimesikia una ukimwi kweli uongo? yule counter alikanusha vikali. akanibana ni nani aliyenambia? nikamtaja yule barmaid. nasikitika sikumuona tena yule barmaid baada ya siku mbili. aliletewa zengwe kwa boss na yule counter akapigwa chini.Mahusiano yetu na counter yalidumu kama miezi nane. ingawa tuliachana baada ya kunifumania gheto. pamoja na hayo nilikuwa nampigia simu mara kwa mara kujipendekeza turudiane manake nilikuwa nakumbuka ule mteremko wake.
alikuwa hajui nini maana ya ubahili na pesa alikuwa nazo. kifupi ilikuwa haipiti mwezi bila kumpigia simu. na ulipita mwaka mwaka na nusu sijaonana naye, mara ya mwishokuongea naye ilikuwa january. ndipo juzi nilipompigia nikashangaa sauti inayopokea siyo yake. nilipouliza nikaambiwa kuwa alishafariki kwa ukimwi imepita miezi miwili. na kumbe familia yake ilijua muda mrefu kuwa alishaathirika miaka sita nyuma. nilfedheheka sana kwa kujua kuwa nimeshaukwaaa. anyway nikakumbuka kuna mstari kwene Bible unasema ni heri ukaijua kweli na hiyo kweli itakuweka huru. niliamua kwenda kupima. na nimekuta nimenusurika. so all grory to GOD.