Message Sent and Delivered!

Message Sent and Delivered!

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
Katuni-dec-2012.jpg
 
Picha ni ile ile, ila kilichobadilika ni hapo juu(NYUMBA KUBWA Vs NYUMBA NDOGO).
 

Attachments

  • mke mwema.jpg
    mke mwema.jpg
    226 KB · Views: 72
Plagiarism!

Nimekuelewa BRO.

Tukija kwenye picha yako sasa, hapo inaonesha ni jinsi gani nyumba kubwa inashindwa kumCARE mwanaume mpaka mwaname anapata or kuelekeza nguvu zake kwa nyumba ndogo kwakuwa akifika kwa nyumba ndogo anapata mapokeo mazuri yanayoambatana na maneno mazuri ilihali kwenye nyumba kubwa hapati vitu hivyo.
 
Back
Top Bottom