Nikaanza uhusiano nae nilikuwa kicheche sana hapo kabla bt nilipokuwa nae nikaacha na toka hapo sikuwai kutoka nje ya mahusiano nikanunua viwanja vitatu hapa dar na mashamba kadhaa mkoani pwani.mwanzoni mwaka jana 2kashauriana nijenge nyumba then 2funge ndoa bt katikati ya mwaka jana nikahamishwa kikazi arusha kwa mda wa mwaka yaani narudi dar julay na kipindi chote mawasiliano yalikuwa mazuri sana na ananiambia niwe makini na nyumba nimemaliza na jana asubui 2meongea btmchana kaolewa nifanyeje?