Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,980
Wakuu salaam sana.
Hebu tutafakari pamoja juu ya kupenda /kujali wengine. (Mke/Mume,Mchumba,Marafiki,majirani etc)
Nianze na kusema, Ni vigumu sana kumpenda mtu mwingine kama hujipendi mwenyewe, au ni vigumu sana kumpenda mtu mwingine zaidi ya unavyojipenda wewe mwenyewe katika uhusiano wowote ule, si ndio?
Najiuliza; Utampendaje mtu mwingine kama hujipendi mwenyewe? Utamjali vipi mtu mwingine kama hujijali mwenyewe? Inawezekana? Kama ndio ni kweli au kwa unafiki?
Nionavyo mimi!
Moja Kama unajipenda utampenda mwingine maana unajua thamani utu wako, si ndio? Ikimaanisha Kama hujipendi utaona vipi thamani ya kumpenda mwingine?
Pili Kama unajijali mwenyewe utamjali mwingine maana unajua thamani yako, utaona umuhimu wa binafsi ya mwingine, si ndio? Utamjali vipi mwingine kama hujijali mwenyewe? kwanini umjali mtu mwingine??? (to value a person for who he/she is not cause they have something you want/need)
Tatu Kama hujifurahii mwenyewe huwezi kumfanya mwingine akufurahie, si ndio? kama hujifurahii mwenyewe kwa namna unavyoishi, unavyoendesha mambo yako, unavyovyaa nani mwingine atakufurahie wewe? (hapa ndio kuna siri kwa nini mtu anavutiwa na mwingine) si ndio?
Kama hivyo ndivyo? ukiona mtu anajali zaidi ya anavyojijali au anapenda zaidi ya anavyojipenda, itakuwa anafanya yaliyo nje ya kile anachoamini yeye mwenyewe, sio ndio? na huo si unafiki na atafanya hivyo kwa muda tu maana hata eye haamini anachofanya.
Wewe unaonaje? kwa nini watu wengi hawapendani, kwa nini unafiki umekuwa mwingi zaidi, kwa nini inazidi kuwa vigumu kujali wengine zaidi ya wale wenye tunavyohitaji; vipi kuhusu wale wanaohitaji tulivyonavyo?, you name them.
Nawasilisha
Tized.