Nivigezo vp vitapelekea mtambua mpenz mwenye mapenz ya that?

TOTS SHALO

Senior Member
Sep 24, 2012
152
25
Ndugu zang mie nashdwa elewa nimtambue vp mpenz ambae anamapenz yakweli coz haxomeki mara leo kanuna kesho kacheka mwenzangu ukimwambia kwajins unavoitaji hakuelewi nashdwa hata nifanye nn bola kuwa bila mpenz xaxa.
 
Hapo kwenye red ni pagumu , ila kama utapaweza itakua ni vizuri na utakua umeepukana na matatizo mengi yanayohusiana na mapenzi.

Any way, subiri watakuja washauri
 
kwanza jiulize kwa nn ananuna, inawezekana unamfanyia vitu ambavyo havimfurahishi.
Haiwezekani akufanyie vitu wewe unavyotaka, wakati hana amani, hafurahii mapenzi yenu. Nakushauri clear kwanza magugu yaliyopo kwenye uhusiano wenu then mambo mengine utaona yanaenda vyema.
 
Kuna haja ya kufanya phd ya hii makitu. Kumbe utambuzi ni issue eeh. Mtambuzi njoo uelimishe vijana. Mie nilipiga ana-ana-doo
 
Last edited by a moderator:
kwanza jiulize kwa nn ananuna, inawezekana unamfanyia vitu ambavyo havimfurahishi.
Haiwezekani akufanyie vitu wewe unavyotaka, wakati hana amani, hafurahii mapenzi yenu. Nakushauri clear kwanza magugu yaliyopo kwenye uhusiano wenu then mambo mengine utaona yanaenda vyema.

YAH! Nikweli ki2 ulikokiongea yote uloyaxema binafc nayatimiza ila bado gal wangu analeta magumash cjui kwakua kajua nampenda ndo anamua kuyafanya haya nashdwa kuelewa tatzo liko wapi kaka.
 
UNAMASHWALI YAAJABU! Ila poa jinsia ni mwanaume.

Heeee! Kumbe tunashauri dume! Umepewa macho demu mcharuko hakuna haja ya kuazisha uzi hapa.. utaona mwenyewe! Mwanamke mwenye maadili matendo yake ndio huongea sio kile kinachotoka kinywani mwake.

Halafu give it a time.... kama kitu anaficha obviously time will tell huwezi kuficha your true color forever

Kwa mwanamke that is another story wanaume werevu sana!
 
UNAMASHWALI YAAJABU! Ila poa jinsia ni mwanaume.

poa shida ndio kipimo pekee unaweza kumdanganya umefukuzwa kazi au mambo yako sio mazuri kisha uone reaction yake hapo ndio utajua mapenzi ya kweli
 
Utamtambua tu. ukimtumia sms atajibu baada ya masaa matatu hapo ujue ni mapenzi ya dhati.
 
jaman upendo haufchik haf mapenz iz like 2 way trafic afu we mfanyie v2 ambavyo hafanyiwi na wengne utawin. Na kumwomba mungu sana.
 
Back
Top Bottom