Walinishambulia kama mbwa mwizi aisee....
Ilikuwa ni mwaka 1988 nikiwa nimekuja Dar kwa kaka yangu baada ya kumaliza kidato cha nne na kufeli vibaya huko kijijini. Tulikuwa tukiishi Mwananyamala...
Mm nimeajiriwa naishi DAR sifa zote zitatolewa baada ya kuonana na mhusika hamna kutapeliana.lakini awe mfanyabiasha au mwajiriwa,mrefu na awe mkristo umri 20-35 tuma namba yk nitakupigia kwenye...
Haya wana MMU naomba tushirikiane kwenye hii mistari ya Niki wa Pili,
Mungu nijalie demu mpenda pesa
,kila siku nipigane kuwa bakhresa
,
Asinipende mimi apende verosa
Wana wamegewa...
Dear ladies,
Firstly, if you are still struggling to find a
husband at an old
age because you are looking for a perfect
man, Something is wrong
with you, Sorry
to say that but it's true...
Amini usiamini kwa kautafiti nilikokafanya kwa takriban miaka kadhaa nimegundua kuwa wanawake wa kiislamu ndio wapishi wazur hata migahawa wanayofungua wanapika vizur vyakula, hata vitafunio mf...
Niliona friend request ya mzungu facebook nikarespond akaanza kunitongoza nikawa namuenjoy tu bas aliniomba request 12/apr bas juzi akaniambia ameenda mall for shopping na mom wake akamwambia buy...
Heshima kwenu wadau, hi kitu nimeiona sehemu nikaona bora niimuvuzishe na huku
eti kati ya watu waliokufa na sisi tulioko hai wapi wengi na ni zipi sababu zako?
nb:kwa data za un mwaka jana...
Nimatumaini yangu kuwa wote ni wazima kabisa na mnaendelea vizuri na ujenzi wa taifa letu la tanzania.
Ndugu zangu niko njia panda naomba mawazo yenu,nina dada yangu( mtoto wa shangazi yangu)...
SIFA ZA PLAYBOY WA Bbm
1.Upenda kuigiza maisha(kujifnya wa kishua)
2.Uwa ana swagger ya kimbiea eyo eyo nyingi
3.Ujifanya ame xoma udsm,CBE,UDM Kumbe ata st.kufeli Ajafika
4.Swager za ku...
Ukifuatila harusi nyi ulizo hudhuria utakuta ndani miezi 3 au 5 bibi harus kajifungu chanzo nn au ndio ule msemo usemao 'SHAKE WELL BEFORE USE' yani sielewi tusaidiane jf.
wapo wazazi wanaona sifa kumpeleka mtoto wao mdogo kwenda kulelewa kwa muda huku wakijuwa bibi au babu yake na huyo mtoto ameethirika.
Siyo sawa tuwe makini.
hiii, am male 27yrs, nahisi kuchoka kuwa mpweke, nahitaji mpenzi wa kuanza maisha
naomba aliye serious ani PM au unitumie mail kupitia emmanuelvitalis@tanzaniamail.com,
napenda mdada anayejielewa...
Mwanaume mlevi ni ngumu sana kum-satisfy Mwanamke! This is a fact.Wanaume wengi mnagongewa mademu zenu na Wake zenu kwa kuendekeza Pombe especially Bia...Vikao vya Bia haviishi,muda wa kukaa na...
Hivi Kuna nini siri kati ya hawa dada zetu ambao wamepata kuwa na uhusiano na wazungu kisha mambo hayakwenda sawa wakachana na mzungu mmoja...Huendaendelea kuwinda wazungu tu?
Na kwanini hata...
wana chit choo,naomba kwanza munikaribishe ingawa si mgeni kwa jukwaa.kuna kitu huwa nashangaa sana.mara nyingi nnapokutana na mabinti hawa toka hilo bara letu la hukoo mbali(Africa) au hata hapo...
Ni jioni njema na natumaini mu wazima wa afya,yangu jion ya leo naomba mnisaidie jambo moja kuna wakati nakua na mtazamo hasi juu ya jinsia ya kike na hata kuwachukia bila kujua sababu hasa ni...
Wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa akili usikubali mwanamke akatawala akili yako au akugombanishe na wazazi wako, ndugu yako au rafiki, wanawake wengi hawawazi juu ya maisha ya mbeleni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.