Mtazamo juu ya wanawake

Mtazamo juu ya wanawake

Dimple Jerry

Senior Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
118
Reaction score
11
Ni jioni njema na natumaini mu wazima wa afya,yangu jion ya leo naomba mnisaidie jambo moja kuna wakati nakua na mtazamo hasi juu ya jinsia ya kike na hata kuwachukia bila kujua sababu hasa ni nini.Naomben mnisaidie katika hilo
 
Lazima una sababu wewe .....tueleze ....au tupe experience yako na hao viumbe.
 
pole sana kawaone psycholigist wakusaidie maana si kawaida,swali la nyongeza;walikukosea nini hadi kufikia hali hiyo kwa sababu sidhani kama kuna binadamu anazaliwa hivyo ila tu inatokea unapotendwa vibaya na ukashindwa kukiachia hicho kitu kitoke mawazoni na moyoni hadi kufikia kujenga chuki.
 
Ni phase tu ya umri
yatapita tu hayo

tulipokuwa wadogo tukifikiri wanawake ni kama wanaume
ukibaleghe utawaona kama ni big challenge
later utawaelewa na kuwaona u need them na they need you...
 
Inawezekana una mimba, wahi clinic.....
nasikia watu wengine wanapokuwa na mimba huwa wana hiyo tabia ya kuchukia kitu bila sababu. Mimi haijawahi kunitokea lakini.
 
Inawezekana una mimba, wahi clinic.....
nasikia watu wengine wanapokuwa na mimba huwa wana hiyo tabia ya kuchukia kitu bila sababu. Mimi haijawahi kunitokea lakini.

mkuu soma jina ndo utoe mawazo yako
 
pole sana kawaone psycholigist wakusaidie maana si kawaida,swali la nyongeza;walikukosea nini hadi kufikia hali hiyo kwa sababu sidhani kama kuna binadamu anazaliwa hivyo ila tu inatokea unapotendwa vibaya na ukashindwa kukiachia hicho kitu kitoke mawazoni na moyoni hadi kufikia kujenga chuki.

juu ya kutendwa ni kweli lakini pia tabia zao kwa wengi ninao bahatika kutanana naona sio nzuri
 
Lazima una sababu wewe .....tueleze ....au tupe experience yako na hao viumbe.

expirience yangu ni kuwa sijajihusisha sana na relationships katika maisha yangu na hivyo kuna wakati unafika nahitaji kuwa na mtu tatizo ninalokabiliana nalo ni kwamba nnapopata msichana na kukaa nae kwa muda naona hatuendan
 
pole,hujatuambia umri wako,ila nahisi mama yako alikuwa mkali sana wakati unakua au labda waliachana na baba yako,mama yako akamdhurumu dady wako mali......plus kutendwa na wadada ....sijui lipi hasa...:doh:
 
kuhusu wazazi hamna shida maana wote wapo na wanapendana sana
 
expirience yangu ni kuwa sijajihusisha sana na relationships katika maisha yangu na hivyo kuna wakati unafika nahitaji kuwa na mtu tatizo ninalokabiliana nalo ni kwamba nnapopata msichana na kukaa nae kwa muda naona hatuendan

sio kwamba hauendani nao, either wewe ni mgeni kwenye eneo hili au ni muoga wa majukumu. Huwa hatutakiwi kufanana na wenza wetu maana hatukuzaliwa pamoja isipokuwa huwa tunajifunza jinsi ya kuendana nao na kuishi na mpenzi wako kulingana na yeye alivyo. Sasa wewe inaonekana ni mgumu wa kubadilika, yaani unataka mpenz awe kama wewe kitu ambacho hakiwezekani. Kubali some changes na utaenjoy!
 
pole mkuu
hapo kuna kutendwa
huenda ni sababu mojawapo
pia unaokutana nao huenda
tabia zao hazikupendezi,thts y unatuchukulia
tofauti ila ni kama ugonjwa na unatibika tu!!
 
mwana endelea kuwachukia tuu...ukiwapenda hawa itakula kwako. hivyo unavyo wachukia ndio sawa.
 
Dont apply your logics and your critical mind on them, nina hakika utakuwa una critical mind nzuri sana na unajaribu kuweka kwenye logic sana matendo yao na fikra zao, itakusumbua. We wapende na kuwaheshimu tu usijisumbue kuwatafakari hutawamaliza maisha yako yote.
 
Back
Top Bottom