Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana JF. Yaani tulianza kama matani vile, yeye ali like comment yangu niliyo itupia hapa JF, ikabidi nimPM kumshukuru. Baada ya hapo tukaendeleza mazungumzo. Hatimaye akanieleza...
4 Reactions
89 Replies
7K Views
Hi all, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda. Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni...
0 Reactions
104 Replies
12K Views
post deleted
7 Reactions
123 Replies
13K Views
Mwaka 2144 teknolojia itakuwa mbali sana kiasi kwamba mtu utaweza ku download DNA blue print ya mtu unayempenda kwenye dating site yoyote then unai print kwenye 3D Clone printer then unampata mtu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninatafuta mke wa kuoa umri wangu miaka 32, dini mkristo, elimu yangu shahada ya uzamili, nina kazi, urefu 172 cm, rangi maji ya kunde, ninaishi Dar es salaam. Sifa za mwanamke umri 25 -32, dini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zanu wana JF, Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time...
11 Reactions
129 Replies
12K Views
Jamani kabla hujafa hujaumbika,na usimkufuru Mungu kabla jua halija zama.Demu mmoja ajulikanae kwa jina Pendo nilimtongoza na nikamueleza nia yangu ya kumuoa akanikataa,then akapata sharobaro wa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
MMU habari ya kazi kila mmoja wenu? Nimekuwa msomaji wa MMU bila kujisajili ila leo nimeona niwe member ili nipate ushauri kuhusu hili. Mwenzenu kwa sasa na kwa age yangu ningependa niwe na mume...
0 Reactions
93 Replies
6K Views
Tafiti nyingi duniani zimegundua kuwapo na msukumo na mhemko wa tamaa za ngono kwa wanaume. Majibu kadha wa kadha ya tafiti hizo yamekuwa yakitoa majibu sawa, ikiwemo suala la maumbile ya...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Talaka inapotolewa bila kujali kama kuna watoto ama La, Nani ni rahisi kupata Mwenza haraka between Man and Woman na kwanini?personally how many would love to date them and why?.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamani mi nina problem. Yaani siku hizi kila anachofanya mke wangu lazima nipate kasoro. Ni limbwata inaisha? Mapenzi yanapungua? Au nina tatizo gani? Akipika lazima nitanung'unika kitu fulani...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
nashukuru sana kwa michango yenu wadau, hii kitu ilitakiwa iende haraka na nimemfikishia maoni kama mlivyo suggest wanajamvi
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Je, wewe ni binti unayependa kuwa na maisha ya familia yanayompendeza Mungu? endelea kumcha Mungu
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari za wakati huu, Wapendwa kaka na dada zangu, ni mara ya kwanza ktk uwanja huu. wote salaamu! nina rafiki yangu ameolewa na wamebahatikkuwa na mtoto mmoja. mume wake ni dereva daladala...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimekuwa busy kutafuta elimu na future life. Nadhani kwa sasa inatosha kuanza maisha na mwenzangu. Nipo pande za Asia naomba yeyote aliye tayari kuishi nami, picha muhimu. Natarajia kurudi...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Unajisikiaje pale unapogundua demu wako kagongwa na msela fulani ‎؟؟؟؟
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hi! my name is jonas, am looking for a good girlfriend, i dont disriminate any one,but dealing on the one who have a true love and good habit, who is interested on that, please wellcome, sibagui...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hivi hii tabia ya kusagana ni fasheni mpya imeingia mjini au kuna tatizo kubwa limejificha?mbona wengi wanashiriki?? je wote ni ma lesb kweli au ni vipi?
0 Reactions
45 Replies
15K Views
Naitwa Prisca mwenyeji wa mkoa wa Arusha, napenda nishuhudie kitu ambacho kimetokea maishani mwangu hadi kupelekea kuokoka. mwaka 2010, kwa sababu ya kutafuta maisha nilikwenda zanzibar...
15 Reactions
60 Replies
9K Views
Habari ndugu zangu. Nauliza yeyote anaemfahamu marehemu Mzee Jaffari aliyekuwa anaishi maeneo jirani na stand ya Biharamulo. Alifariki miaka ya 2008 hadi 09. Alifuatiwa na mkewe mwaka 2010. Pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom