Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

The average male spends 43 minutes a day staring at 10 different women Source: Men spend a year staring at women - Telegraph
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Mapenzi kitu ajabu, ni shani yake Manani Hayahitaji sababu, sababu ilo makini Hujimwaga bubububu, bububu maji ya pwani Watu wakataajabu, kilichokupata nini! Hayahitaji dhahabu, mapambo mingi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi! Haka ni katabia kapya ambako kinadada zetu wanakafanya kwa kuiga wazungu ambao hawana maadili.Cha kushangaza hata wanawake ambao wameolewa nao wanaacha hayo manyonyo yao wazi. Baadhi yetu...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
mimi ni mvulana mtanashati but ningependa kujua why inakua hv mimi nilikua na msichana wngu ambaye nilimpata kwa njia ya yy alikosea namba na kunipigia mimi ndipo nilipo muapproach then nashukuru...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Nikiwa katika hii safari yangu ambayo kwakweli sielewi itaisha lini na pia sijui itaishia wapi, kuna kitu nimekinote kwa kila msichana ninaejaribu kumu approach. Hivi unapo muapproach msichana...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wadau,kwa huzuni na majonzi makubwa nasikitika kuwajulisha kuwa mama yangu mzazi ameaga dunia majira ya saa tatu na nusu usiku wa tar. 29/04/2013. Ikumbukwe kuwa mnamo tar. 17/03/ mwaka huu...
13 Reactions
195 Replies
16K Views
Tafadhalini wandugu; nimekuwa mteja wa machangudoa kwa muda mrefu hadi nimepoteza zile mbinu za kumkabili msichana anayejishemu ili nimtongoze, kule kwa machangu ni kuuliza bei na si kutongoza...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Ndege wangu ndege wangu, nakutafuta uliko Nakuapia kwa mungu, moyo wangu uko kwako Sinipe kizungu zungu, kunitangisha mwenzako Nakuhitajia kwangu, Nizipate raha zako Memaliza ulimwengu, sijapata...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana wa jukwaa la mmu, Naamini jukwaa hili kama litaendelea kutumika vizuri litakuwa ni msaada kwa wengi, wanaume na wanawake. Kupitia hapa nimejifunza mambo mengi ambayo mengine...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
IGWEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!! Hivi unapokutana na mtu wa umri wetu, like from 23 (Out of social pressure it was supposed to be 21), anakwambia mimi sina mtu niko single! Like seriously? Ukimuuliza...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Habarini wanajumuiya wa MMU Hivi hii dhana ya watu kukabana ndo kusema ni mapenzi ya dhati au ni insecurity au ndo mtu anahakikisha hupati mwanya wa kufanya yale maovu anayoyafanya at your back...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mim ni kijana wa umri wa miaka 26 na ninafanya kaz morogoro.nimejitokeza hapa jf kutafuta mchumba/mke wa kuoa ambaye nitafanya nae maisha.awe ni christian,awe na heshimu wazaz wang,awe na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Akina dad zetu kiukweli ss wanaume ndio chanzo cha umalaya pindi tunapo zarau ndoa zetu na kuanza kutoka nje. Lakini pia nyie mna dhamana kubwa ya kusema hapana pindi unapo hisi mnadanganywa ili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mke mwema utulivu, hili halina Ubishi Anakutoa machovu, ya kazini kama moshi Hana chembe ya uvivu, kila kitu hash hashi Mke mwema utulivu, ndio raha ya dunia. Ni raha juu raha, nyumbani...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwanamke mwenye sifa hizi anatakiwa; -umri miaka 25-29 -awe mkristo. Ctaki wale wa kusema atabadili dini. -awe mrefu na awe na figa -awe tayar kuni-pm picha yake harisi -awe na shughuri ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Familia ya bw n bibi edwin .m wanafuraha kukutangazia harusi ya kijana wao G.e.m itakauyofungwa tar 12may kama una neno lolote tafadhali wakilisha kanisan na kama huna FUNGA MDOMO WAKO MPAKA YESU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
[emoji15]
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Swala na uaminifu ktk ndoa na mahusiano inaonekana kuwa tatizo au ni uhuru wa vyombo vya habari hivyo matukio yanaripotiwa kwa wingi tofauti na miaka ya zamani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimebahatika kupita nchi zote hizi na kwa bahati nzr kuona na kua shahidi wa jambo hili ambalo kitaalamu hutwa ELUSIVE FEMALE EJACULATION .. Baadhi ya wanawake kutoa maji ktk uke wakati sex hasa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tabia za wanaume kuzaa na wake za wenzao (ama wake kuzaa na waume za wenzao) zimekithiri sana Tanzania. Jeuri hiyo hususan kwa vingunge inasababishwa na nini? Je ni muendeleo wa mabadiliko ya...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…