dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Mwanamke mwenye sifa hizi anatakiwa;
-umri miaka 25-29
-awe mkristo. Ctaki wale wa kusema atabadili dini.
-awe mrefu na awe na figa
-awe tayar kuni-pm picha yake harisi
-awe na shughuri ya kufanya au awe tayar kujishughurisha
-asiwe na vizinga (tamaa)
-elimu yoyote
-asivute sigara ingawa pombe kias ruksa. Nami nakunywa kias.
-awe na haiba ya kike (sio anakuwa nunda nunda flani)
Sifa zangu
-mkristu
-mrefu kiaas
-mweusi
-graduate
-sivuti sigara/bangi
Aliyetayari anitumie pm.
Nawasilishaa!