Toria
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 1,177
- 700
Habarini wanajumuiya wa MMU
Hivi hii dhana ya watu kukabana ndo kusema ni mapenzi ya dhati au ni insecurity au ndo mtu anahakikisha hupati mwanya wa kufanya yale maovu anayoyafanya at your back
Kwani ukimpa mtu uhuru bila kufatilia kila anachofanya utakua humpendi au hujali?