Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wa 60 na 80 hatuwezi make, Na kabla sijahema washakugema sana mafataki, Shikamoo unakaza.. umri ka maza, Na mi sio faza ni vipi nitakuliwaza?! Unataka kunikuza ah wapiiii!!!!!! ~~ukickia paa ujue...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wajameni nimepatikana kwa pesa mbili. Baada ya kuhangaika kutafuta msichana wa ndani mke wangu aliomba msaada na tukaletewa toka ukweni - kabila sitaji ila la wajeuri. Msichana hard working lakini...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Haya ndiyo maneno ya baadhi ya madada (wanawake) wa siku hizi, hasa wa mjini. Fedha kwa sasa imekuwa ndiyo kila kitu kwa vijana wengi hasa wa kike! Hawezi kuwa na uhusiano na mtu mmoja na...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Neno WAPENZI katika mahusiano linakuwa na maana nyingi kutokana na mazingira na aina ya PENZI linalokuwepo katika wapenzi. Penzi linajengwa kwa UAMINIFU kati ya wapenzi. Historia imebainisha...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
a friend who likes chatting,who is interested in computer stuffs and other of the like
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari za leo, mim ni kijana wa miaka 28, nina galfrnd wangu ambae huwa tunakutana mara moja au mara mbili kwa mwezi kulingana na ratiba inavyoruhusu, sabab hatuishi karibu sana na kila mtu...
0 Reactions
73 Replies
5K Views
love is not to be trusted couz nowadays people just date and play sex of the gal leaves with a slight mistake,,inshort men take gals as a tool of pleasure!! which i dnt like,though am a man...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kila mtu akiwa anavunja amri ya sita huwa ana aina yake ya mguno Wapo wanaoimba, wapo wanaotaja majina ya wazazi wao, wanaoomgea kilugha,u, wapo wanaopiga kelele, wapo wanao wanaolia kichini...
1 Reactions
130 Replies
44K Views
Wana JF, habari za siku nyingi... Napenda niseme ukweli wa moyo wangu. Leo nimebahatika kuonana na kuongea na Lisa! Nilivyomuona tu, moyo wangu ukaridhika kwamba macho yamelenga penye mvuto...
3 Reactions
100 Replies
8K Views
Salaam! Unahisi maisha bila mwanamke ama bila mwanamme yamekamilika? Jibu sahihi: Hayajakamilika! Kivipi? Kwa sababu maisha ni binadamu kuzaliana, hivyo lazima mwanamme na mwanamke wawe na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Kuwa ndani ya ndoa. 2. Kuishi kwenye nyumba yako mwenyewe. 3. Kuwa na watoto (wawili+) 4. Kama ni muajiriwa kuwa kwenye supervisory au senior position. 5. Maliza michakato ya msingi ya formal...
13 Reactions
207 Replies
17K Views
looking for a girl to date who we should start knowing each other the date.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Baadhi ya sifa za mke mwena ni hizi hapa; i. Hufumbua kinywachake kwa hekima, Na sheria ya wema katika ulimi wake. Wanawake wengi hawajuikuutumia ulimi vizuri – Ukali, maneno ya mikato, matusi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Je kosa ni la mwanaume ambaye hajamkfikisha kileleni na hajui kama kamfikisha au la?au kosa ni la mwanamke ambaye hajafikishwa na hasemi ili next time afikishwe kileleni,ana pretend ameenjoy na...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Umeshawahi kufanya abortion? (Kwa wanawake) Umeshawahi kusuport/ kukataa mwenzi wako kufanya abortion? (Kwa wanaume) Nini sababu za kufanya abortion? Nini mtazamo wako juu ya abortion? Unadhani...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
jamani mie ni kjana wa miak 25 natafta MCHUMBA mwenye sifa zifuatazo:- 1) awe mwanamke! 2) asiwe bonge 3) awe na kimo kisichozidi ft 5.2 4) awe na sura yenye mvuto 5) pia awe maji ya kunde...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ni mambo ambayo iliwahi kunitokea mimi lakini pia ndugu yangu wa karibu na marafiki zangu kama wawili, mambo yenyewe ni hivi KUNA UHUSIANO WOWOTE WA HEDHI NA MABADILIKO YA HOMONI KWA...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari zenyu banaaa ni hvii huyu jamaa ninayeshea naye bed sometimez kachange gafla,anapotezea calls na sms zangu,home kwangu hafiki tena n.k anadai yuko bize ila nahisi kama ameopoa goma...
0 Reactions
85 Replies
9K Views
1. Kugusika kirahisi: Mtu asiyejiamini huwa anagusika kirahisi sana, jambo dogo linaweza kumnyima furaha kwa kiwango kikubwa. Jambo dogo linaweza kumuudhi kupindukia. Kuna watu ambao kwa utani...
27 Reactions
53 Replies
14K Views
Jana nilikuwa sehemu moja maeneo ya Segerea na mume wangu. Katika kupata kinywaji wakaja baadhi ya marafiki zake, ila kuna huyo mmoja mwisho wa siku alitia aibu sana. Muda wote wenzie wanachangia...
0 Reactions
85 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…