Je wewe ni mke mwema?


J

JAK

Member
Joined
Apr 23, 2012
Messages
92
Likes
7
Points
15
Age
33
J

JAK

Member
Joined Apr 23, 2012
92 7 15
Baadhi ya sifa za mke mwena ni hizi hapa;
i. Hufumbua kinywachake kwa hekima, Na sheria ya wema katika ulimi wake. Wanawake wengi hawajuikuutumia ulimi vizuri – Ukali, maneno ya mikato, matusi, ukaidi n.k. kwao nimambo ya kawaida. Wengi wanatawaliwa na HASIRA na WIVU, akiona mumewe anachekana mwanamke ni Kosa la jinai, mwanamke anafura wala hata hawezi kuongea, haliya hewa inabadilika hata paka nyumbani wanatambua kuwa hali ni Mbaya.
ii. Hufanya kazikwa Moyo na Huamka alfajiri na mapema
Kuna wanawake ambao ni wavivu kupindukia, inafika wakatihata kutandika kitanda anamtuma House Girl, wanaume ni rahisi sana kuvutwa naanayemhudumia kwa ukaribu, House girl akiandaa chakula, mara kitanda, mara majiya kuoga, mara apige deki chumbani n.k. Haichelewi mwanaume kulipa fadhila kwawema anaotendewa.

iii. Ni msafi naanajua kuandaa mavazi yanayofaa kwa familia yake
Kuna wanawake ambao ni wachafu – usishangae kukuta sufuriakwenye makochi, chumba cha kulala ni stoo ya nepi za mikojo na nguo chafu,wengine kuoga ni anasa. Mwanamke ni MAJI, sharti mwanamke awe msafi muda wote.Wanaume wote wanapenda Usafi, marashi hata ya mchina yasikose, Mwanamkehakikisha “Reception” inakuwa Safi na kuwa katika hali ya kumfanya Mumeajisikie kujipumzisha kwa Raha mstarehe.

iv. Jali na timizaMahitaji ya NDOA kwa mume wako
Sulemani anasema mwanamke mwema “Taa yake haizimiki usiku”,kuna wanawake wavivu kwa swala hili, pia kuna wanaopenda kulipa visasi kwakuwanyima waume zao huduma, utakuta wiki nzima mama apanda kitandani hukuamevaa “KOMBATI” utafikiri ni askari anaenda vitani. Wanaume ni sawa na Mbuziambao hawachelewi kukata kamba wakikosa majani walipofungiwa. Fanya makosayote, lakini usijefanya ujinga wa kumkomoa mume kwa kumnyima huduma ya Ndoa,hilo ni kosa la Jinai. Hakikisha huduma hizo zinaboreshwa, nenda na wakati ilimradi isiwe kinyume na taratibu za Mungu.

v. Mwanamkeanatakiwa kujua kupika chakula kitamu, ambacho familia itafurahia.
Wanawake wengi hasa wa siku hizi hawajui kupika, ndio maanautakuta wanaume wengi wanaishia kula hotelini au kwa mama ntilie, kama umetokabara basi usione aibu kujifunza kwa watu wa pwani namna ya kuunga NAZI kwenyechakula. Akina mama ni wajibu wao kujifunza Mapishi, Mchicha peke yake unawezakuwa na mapishi zaidi ya 10, wanaume wanapenda chakula chenye ladha “Test”,mfanye mume akumbuke chakula cha nyumbani.

vi. Mwamini Mumewako, wivu na hisia mbaya ni adui wa ndoa yako. Usitoe siri za ndoa yenu kwamashoga au ndugu zako. Muda wote muombe Mungu akupatie hekima ya kuongea pinditatizo linapotokea, Muombee mume wako ili Mungu amsaidie pia awe na Hekima yakutunza Ndoa kwa Uadilifu na Upendo.
 
I

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
427
Likes
14
Points
35
I

Ilambo

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
427 14 35
Mkuu nimekukubali ngoja dada ze2 c unajuahawakosi neno
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,330
Likes
40,114
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,330 40,114 280
we wasema........
 
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,839
Likes
87
Points
145
MadameX

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,839 87 145
nasubiri mume mwema....baade nitasoma maelekezo hapo juu
 
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Messages
4,620
Likes
121
Points
145
Ablessed

Ablessed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2013
4,620 121 145
Mke mwema .
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,425
Likes
7,520
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,425 7,520 280
nitarudi.
 
Queen Kan

Queen Kan

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
3,461
Likes
4,251
Points
280
Queen Kan

Queen Kan

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
3,461 4,251 280
Mke mwema anatoka kwa Mungu!
 
Mlandege

Mlandege

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Messages
1,097
Likes
309
Points
180
Mlandege

Mlandege

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2012
1,097 309 180
Darasa
 
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
7,937
Likes
6,440
Points
280
Billie

Billie

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
7,937 6,440 280
Hizo sifa zilipendwa kwa jinsi navyowajua hawa mademu zetu...?
 
M

mtimatawi

Senior Member
Joined
Apr 28, 2013
Messages
112
Likes
1
Points
0
M

mtimatawi

Senior Member
Joined Apr 28, 2013
112 1 0
huwezi kupata mke mwenye sifa zote hizo ulizo sema , kila mwanamke anamapungufu yake, wakati wakuoa unapima mema yakizidi mabaya basi unamwoa, na ubaya ukizidi uzuri unamwacha. ukitaka mke aliyesahihi asilimia mia moja (mke) mwema hutampata kwasababu kizazi hiki kinaishi bila katiba yao, bila sheria na ndiyo maana hakina maadili.
 

Forum statistics

Threads 1,275,076
Members 490,894
Posts 30,532,146