Kuna siku mtu alileta mada ya unalalaje? akaweka picha nyingi watu waseme anavaa nini wanapolala.
Kila mtu alikuwa na lake la kusema, ila niligundua watu wengi hasa walio ndoani walisema wanalala...
Kumbuka kuwa:
uwongo umesababisha watu kuingia katika uhusiano kimakosa.
Umesababisha watu kulea watoto wasiokuwa wakwao.
Umesababisha watu kuhukumiwa makosa yasiyokuwa yao.
Umesababisha...
Mwanzoni nilikuwa nikianika bafuni, kuna siku tumbo la kuaibisha likanishika. Nikatoka nduki hadi bafuni kwetu ambako choo na bafu viko ndani ya chumba kimoja, huko kilichonitokea sitakaa...
Habarini wa ndugu, naomba humu ndani kama kuna mdada au kuna anayemfahamu dada yoyote mwenye maadili na mwenye kujielewa kutoka Tanga ani PM haraka, serious saana jamani
Small trials have shown the drugs to be more effective than -placebos. Photograph: Ulrich Baumgarten/Getty Images
Tafiti nyingi zimebaini wanawawake wengi hupungukiwa na midadi kutokana na kuzaa...
mnamo siku ya ijumaa nilikuwa safarini kutoka mkoani Iringa kuja jijini Dar es salaam nilipanda bus liitwalo upendo nyuma yangu kuna mdada alikuwa amekaa,tulivyofika maeneo ya chalinze ndo vvituko...
me ni kijana mtanashati am model nina tabia ya kutuma namba yngu kwenye radio na kutafuta marafiki wa kike niliwapata wasichana wengi tu wengine niliwatongoza baadhi walikubali na wengine...
salam wakuu!
Husika na kichwa cha habari hapo juu kuna hili swala la wanandoa au wapenzi kuwa na tabia kama kuchokana au kuzoeana(kwa baadhi lakini)na simaanishi wote! kwa mfano kwa wanandoa au...
SALAAM?????????????????????????????????????????????
Kwenye pitapita zangu za town mjini kariakoo, nikaweka kituo kijiweni kwa washikaji huku nasubiri my heart aje kunipick pale, pakatokea tukio...
Habari wandugu
Nina matumaini mnaendelea vizuri na mchakato wa kulijenga Taifa sambamba na kujijenga maisha binafsi.... Lengo la thread hii ni kuwataka ushauri
Mimi ni msichana wa miaka 28...
Ni dereva wa bus la Ndenjela Coach anakung'uta route ya Dar Mbeya anajiamini sana akiwa barabarani abiria mnakuwa hamna wasi wasi, Kitonga anashusha na speed ile ile inayo takiwa ananikosha sana...
Birth of a wise man
So was I told when I was born,
He was getting ready for a computer exam
Far from home in the land they call bongo
A call to him was sent, a baby boy youve had!
But...
Mungu ALITUUMBA SISI SISi sote, lakini katupa tofauti kubwa sana, mwanamke na mwanaume
Katika maisha yote ya huyu bin adam changamoto na mijadala ilibaki katika jinsi mungu alizotupa, mwanaume...
Mi ni kijana wa miaka 28, nina elimu ya Chuo Kikuu ila nimejiajiri. Natafuta Sugar Mummy mwenye uwezo kifedha kwa lengo la kupeana mapenzi motomoto. Sitaki vibinti, vimeshanitenda sana.
Kama unazo...
Wana JF my sweet mama watoto ananitesa. Mateso ya mwili, hisia na saikolojia.
Mke wangu anataka tuwe tunagegegana kila saa ili hata kama nina kabinti nje nisiweze kufanya kitu [madai na mtazamo...
Kwani alichokiongea Nyambari kinaewekana ama ameongea kwa vile amepata fulsa hiyo? Hii kweli inawezekana Kiswahili kutumika kufundishia katika nyanja zote za elimu? Kwa mtazamo wangu hatua hiyo...
Haya ni manyanyaso ambayo kama wanandoa awana hekima za kutosha ndio chanzo cha mmomonyoko wa ndoa.
Utakuta mke au mume ana upeo mdogo sana tofauti na mwenzeke wa kujenga hoja.
Utakuta hata...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Angalizo!!!!!! Huu ni muendelezo wangu wa story za vijiweni zisizo na tija wala chembe ya maendeleo ila zitakuacha ukiwa mbavu huna na umeongeza maisha...
Tangu nilipokuwa mdogo hadi leo naitwa mtu mzima inaniwia vigumu kufikilia kuwa wazazi wangu huwa nao wanachezaga kale kamchezo yaani huwa natafsiri kuwa wameungana kutusaidia sisi wala sio kwa...