Nampenda sana Dada huyu dereva wa Bus

Nampenda sana Dada huyu dereva wa Bus

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,506
613_661979943819166_1487075316_n.jpg


Ni dereva wa bus la Ndenjela Coach anakung'uta route ya Dar Mbeya anajiamini sana akiwa barabarani abiria mnakuwa hamna wasi wasi, Kitonga anashusha na speed ile ile inayo takiwa ananikosha sana kwenye kona za Iyovi analala nalo speed 120 na anafika Dar kwa wakati. Wadada mjitokeze kwa wingi si kila ajira ni kwa ajili ya kina Baba au mnasubili mkiwezeshwa?
Yupo mwingine anakung'uta bus la Shabiby Dar Dom nae yupo vizuri.
 
Mpe hongera zake nyingi..namie siku moja nikipata safari ya route hiyo ntamvizia niwe abiria wake.
 
Fidel kweli kabisa ni dada anaejiamini sana. Na konda wa bus la Musoma express nampenda sana.
 
Mkuu juzi katuendesha huyo dar mpaka mbeya..aisee bi mzuri sana kwenye change down! Yaani kuna midume haikamati hapo...haswa hii ya kizazi cha auto...
 
Kuna utafiti ulifanyika within mining companies ulionesha wanawake ni dereva wazuri wa trucks kuliko wanaume. Unaweza kuta hata kwa mabus ni hivo hivo.
One of the unexpected findings from executives and analysts attending the CESCO and CRU copper conferences in Santiago, Chile: Women are better drivers than men in those house-sized trucks roaming surface mines around the world. They’re said to be more cautious and that reduces wear and tear on the 13 feet-high tires they rumble around on.
Watch this video uploaded to YouTube to see the monster-of-monster trucks in action.

The largest of these trucks, manufactured by Caterpillar, Komatsu of Japan and Germany’s Liebherr, can carry almost 350 tonnes. Each tire can cost up to $125,000 but they can easily be flattened by a fist-sized stone wedged in its treads.
To avoid blowing a tire, a mine might reduce the bucket load even when operating full-out to keep up with global copper demand. Light trucks will speed ahead of the big ones and radio in debris on the mine roadbed. “You get guys jumping out of vehicles throwing stones off the road,” one analyst told me.

More women are getting hired anyway and not just to drive trucks. With the copper industry booming, both tires and workers are in short supply. Copper prices are near records but so are operating costs.
Yet even in Australia, with its macho image, at one large mine, reportedly the truck drivers are 60 percent female and 40 percent male. In the superstitious old days they said women were back luck at a mine. Today, it seems they’re a charm.

(source: Women drivers better than men in the mining monster trucks | Commodity Corner )
 
safi mambo ya digital wadada wako care sanaa
 
namfaham huyo dada jamani ni anajitahidi mbaya.....,

mi mwenyewe siku si nyingi nakamata mchuma.......,
wale wa dar -mtwara.......,dar -nzega
 
Kuna utafiti ulifanyika within mining companies ulionesha wanawake ni dereva wazuri wa trucks kuliko wanaume. Unaweza kuta hata kwa mabus ni hivo hivo.

Cha ajabu wapishi wazuri ni wanaume...

Halafu Mwali, inaonekana wapenda sana kudeka, wadada wanaotumia neno "hivo hivo" huwa na hulka hiyo kwa mujibu wa utafiti wangu...
 
Last edited by a moderator:
Cha ajabu wapishi wazuri ni wanaume...

Halafu Mwali, inaonekana wapenda sana kudeka, wadada wanaotumia neno "hivo hivo" huwa na hulka hiyo kwa mujibu wa utafiti wangu...
Na ambao hawadeki wanasemaje?
wacha nideke, an aunt like AshaDii and an uncle like Kaizer
only means that I am special and nikitaka kudeka najidekea tu!
 
Last edited by a moderator:
Na ambao hawadeki wanasemaje? wacha nideke, an aunt like AshaDii and an uncle like Kaizer only means that I am special and nikitaka kudeka najidekea tu!
Hahahah...hutamka kawaida tu "hivyo hivyo"...kumbe Kaizer ni ankal wako...kwangu mimi yeye ni mtoto wa shangazi
 
Last edited by a moderator:
Cha ajabu wapishi wazuri ni wanaume...

Halafu Mwali, inaonekana wapenda sana kudeka, wadada wanaotumia neno "hivo hivo" huwa na hulka hiyo kwa mujibu wa utafiti wangu...

Vile vile warembaji wazuri ni wanaume pia kwenye masaloon ya kike
 
Back
Top Bottom