Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Haya ni manyanyaso ambayo kama wanandoa awana hekima za kutosha ndio chanzo cha mmomonyoko wa ndoa.
Utakuta mke au mume ana upeo mdogo sana tofauti na mwenzeke wa kujenga hoja.
Utakuta hata kuelezea nini ulichomtuma, akielezea akieleweki. sasa hapo kweli kama siyo utashi ndio chanzo cha ndoa kuvunjika.
Angalizo!
Kwa wote ambao amja amua kufunga ndoa akikisheni uwiano wa uelewa unalingana lingana.