Huyu demu kazidi mizinga::::

Huyu demu kazidi mizinga::::

mambali

Senior Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
170
Reaction score
64
mnamo siku ya ijumaa nilikuwa safarini kutoka mkoani Iringa kuja jijini Dar es salaam nilipanda bus liitwalo upendo nyuma yangu kuna mdada alikuwa amekaa,tulivyofika maeneo ya chalinze ndo vvituko vilipoanza............mchuchu huyo aliwapigia simu kama wanaume 7 hivi akiwapiga mizinga ya kwamba leo ndo anarudi na ana mizigo mingi sana atashindwa jinsi ya kuibeba so anaomba atumiwe hela.Cha kushangaza kwa mdada huyo ambaye alikuwa anaongea kwa sauti kubwa ni pale alivyokuwa anadanganyaa mwingine anamwambia ana mchele ndoo moja,mwingine ndoo tano,mwingine mpunga gunia,mara mpunga ndoo 2 nk kwa mujibu wa mazungumzo yake alifanikiwa kupata buku sita tu.ilibidi nifanye juu chini nione ana mizigo gani??????dah cha ajabu ni kibegi chake kidogo na mfuko aina ya Rambo.Nilichogundua huyu mdada anatufanya sisi wanaume ni kama kitega uchumi,,kina dada acheni hizo...........
 
Weka picha utuokoe wanaume wenzako tusimvae huyo dem.
 
teh teh teh hiyo elfu sita itamsaidia nini sasa maana vocha na nguvu aliyotumia kuwatafuta hao watu7 maybe anabakiwa na 4000 faida hahahahahahahaha
 
hakuna kitu ambacho hakina adabu kama shida.
 
Ndio shida ya biashara ya ngono. Yaani inflation rate haihusiki na ngono. Gesti inapanda bei ila mngonolewaji haongezewi pato. Hii biashara ingerasimishwa tu yaishe!
watu wenyewe wanaishi chini ya dolar moja kwa siku kumbe ahahaaaa dah nimecheka sana aisee...wengine laki si pesa etiiii
 
itakuwa kaweka cheka au xtreem.........
teh teh teh hiyo elfu sita itamsaidia nini sasa maana vocha na nguvu aliyotumia kuwatafuta hao watu7 maybe anabakiwa na 4000 faida hahahahahahahaha
 
Weka picha utuokoe wanaume wenzako tusimvae huyo dem.

sikufanikiwa kupata picha lakini inacyoonesha huyo demu jamaa zake wanamjua ni wa mizinga ndo mana walichomoa kumtumia.................wekaaaaaaaaaaaaaa nao mbali............
 
teh teh teh hiyo elfu sita itamsaidia nini sasa maana vocha na nguvu aliyotumia kuwatafuta hao watu7 maybe anabakiwa na 4000 faida hahahahahahahaha

teh teh eteh inaelekea alivyofika kawapiga chini wote saba kaanza kutafuta wengine mwisho wa siku magonjwa ya zinaa
 
mnamo siku ya ijumaa nilikuwa safarini kutoka mkoani Iringa kuja jijini Dar es salaam nilipanda bus liitwalo upendo nyuma yangu kuna mdada alikuwa amekaa,tulivyofika maeneo ya chalinze ndo vvituko vilipoanza............mchuchu huyo aliwapigia simu kama wanaume 7 hivi akiwapiga mizinga ya kwamba leo ndo anarudi na ana mizigo mingi sana atashindwa jinsi ya kuibeba so anaomba atumiwe hela.Cha kushangaza kwa mdada huyo ambaye alikuwa anaongea kwa sauti kubwa ni pale alivyokuwa anadanganyaa mwingine anamwambia ana mchele ndoo moja,mwingine ndoo tano,mwingine mpunga gunia,mara mpunga ndoo 2 nk kwa mujibu wa mazungumzo yake alifanikiwa kupata buku sita tu.ilibidi nifanye juu chini nione ana mizigo gani??????dah cha ajabu ni kibegi chake kidogo na mfuko aina ya Rambo.Nilichogundua huyu mdada anatufanya sisi wanaume ni kama kitega uchumi,,kina dada acheni hizo...........
Mbona kama fix? Ni mazungumzo gani yaliyokufanya kujua kuwa aliambulia buku sita tu?
 
Ndio shida ya biashara ya ngono. Yaani inflation rate haihusiki na ngono. Gesti inapanda bei ila mngonolewaji haongezewi pato. Hii biashara ingerasimishwa tu yaishe!
ahahaaa...utamu nao unatakiwa upandishwe bei
 
teh teh teh hiyo elfu sita itamsaidia nini sasa maana vocha na nguvu aliyotumia kuwatafuta hao watu7 maybe anabakiwa na 4000 faida hahahahahahahaha

Kumbe inayobaki ni faida!! Kwa hiyo alichokifanya ni biashara.
 
teh teh teh hiyo elfu sita itamsaidia nini sasa maana vocha na nguvu aliyotumia kuwatafuta hao watu7 maybe anabakiwa na 4000 faida hahahahahahahaha

Maybe na hiyo 4000 alipanda Toyo! Shida haina adabu ila huyo mdada..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom