Huu uzi ni mahsusi kwa ajiri ya kutupia maneno mazuri na ya kuvutia ya kupendeza kwa yule umpendaye wengi hapahapa watachukua maneno mazuri
Siku zote mapenzi yanahitaji upendo wa dhati utani wa...
Salaam/shaloom
Mwanangu mmoja aliniomba nimsindikize pahala fulani so tukafika akanambia tuingie ndani tukaingia tukakalibishwa misosi mingi baada yake joto kali nikaomba nitoke nje nipunge upepo...
Leo bana nikiwa katika harakati zangu za siku, kulikua Kuna sehemu nimetulia
Ghafla nikaona mwanamke Mzuri na yeye pia alikua ametulia Kwa mazingira yake kumfata ilikua noma
Nikaona hapa...
Okay my dadas, kwanza kabisa habari zenu :)
kama tunavyojua, kila mmoja wetu hapa ana story za ajabu kuhusu mambo waliofanya kisa mapenzi. Some are wild, wengine funny, weingine cringey, na wengi...
Mara nyingi utasikia baadhi ya wanawake wakisema wanapenda sana watoto weupe ili wawanyoshe watesi wao yaani wasifiwe watoto wao wazuri.
Lakini cha kushangaza, ukiangalia uchaguzi wao wa wapenzi...
Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii
Mahari ninini?
1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama...
MWANAUME MZIMA UNAEOA SINGLE MOTHER NA KUBEBA BAO LA MWANAUME MWENZAKO
Hivi nyie washenzi baadhi ya wanaume mnaojiita midume rijali mna akili kweli au mna minyoo na makamasi kwenye fuvu maana...
Kuna dada mmoja alikuwa akijisifia mbele yangu pasipo kujua kuwa anajiharibia. Kuwa yeye kipapiro chake aka papuchi yake ni dry... Siyo kama za mademu wengine zina mimaji.
Akawa anataka nione...
Ndoa ni stara kwa mwanamke! Hivyo mwanamke anahitaji ndoa kuliko mwanaume
Wanawake wamekuwa wengi ama ni wengi kuliko wanaume... Hivyo ndoa imekuwa kitu adimu hasa ukizingatia kuwa.. Pamoja na...
Hivi mtu Ulisikia neno ngono, nini cha kujia kichwani.....
Wengi husema ni kufanya tendo la ndoa, bila ya Koa au kuolewa sio?
Ni umalaya, ni kuharibu utaratibu, kuchepuka, uzinzi
Ngono imekuwa...
Wakuu habari zenu.NImekuwa namjadala nandugu yangu mmoja hapa kuhusu hoja hapo juu kuwa wanawake walio naumri wakuanzia 28yrs ukijiingiza tu wanakupa motto hili nikweli ?
Wanawake wengi ambao wapo 30+ na hawana ndoa ni hawa...
1.Walikataa kutumia mili yao for free lunch,so wakaonekana na misimamo ya hovyo...as per continet(Africa) is taken into consideration...
Utu uzima dawa! Mnakopita sasa sisi tulishapita salama, lakini kuna uhitaji wa kukumbushana machache, kupeana mbinu na kutiana moyo pia (hapa kwa sehemu hata wadogo zangu wa kike watahusika)...
Heri ya jumapili nyote!!
Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu.
Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini...