Ni rafiki yangu Wa kike na siku kadhaa zilizopita alipoteza simu yake ambayo ilikuwa Na picha alizojipiga akiwa half naked,Na nyingine ni Full naked.
Kuna mjanja kaiokota akatafuta jina lake...
Kumekuwa na mijadala mingi humu jamvini inayohusiana na mahusiano hasa kwa wadada/wababa ambao hawajaolewa/kuoa, waliolewa/walioa au ambao wamekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya...
Ukijaliwa kuwa Msichana
mzuri na mrembo,usidhani
utatetemesha kila
Mwanaume,kuna wanaume
na akili zao
kichwani,urembo wako hauwasumbui,kam a bichwa lako ni
kanyaboya,uzuri wako hausaidii...
Hivi ni kweli kwamba mwanaume ili uonekane unajua mambo ya 6 kwa 6 lazima uwe hodari wa kwenda chumvini?... kwa mana kwamba km huendi chumvini huwezi kumfikisha mwanamke kunako na unaonekana we...
Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what...
1. Mara umalizapo kusoma txt mesej ya muasherati mwenzio futa
2. Ukisev majina kwenye simu yako tumia majina kama Fundi Bomba, Fundi friji, Mama wa TRA, na kadhalika
3. Siku ya mpambano msitumie...
ujana enzi ya shida enzi yenye andamizi!
ujue waswahili wanasema majuto ni mjukuu! inatokea saa zingine unazini na mtu badae unakuja kujishangaa hivi ilikuwaje kuwaje...mpaka nikajiachia kwa...
Mwanaume anapomtaka mwanamke anakuwa na maneno matamu kupita kiasi ataongea kila aina ya lugha ilimradi tu akupate,na mwanzoni atakupenda na kukufanyia chochote utakacho mpaka utajikuta nawewe...
kuna rafiki yangu ni vvu+ anaitaji mchumba yupo dar nimwajiri mchumba awe na shughuli yoyote awe na watoto wasizidi 3 au asiwe na mtoto ni sawa umri miaka 30 mpaka 45 tafadhari pm upewe namba yake...
E bwana eee,
Baada ya kumPM mdada fulani ambaye vilivyonivutia kufanya hivyo ni jina, avatar na lugha/mawasiliano yake kadri tulivyokuwa tukiwasiliana, ambavyo vilikaa kimahaba, nikasema dah huyu...
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
Alikuwa mpenzi wangu enzi hizo tuko chuo
Tulipomaliza chuo akapata kazi nzuri
Baada ya miezi mitatu akanidump
Niliumia sana...
Zuwena ( sio jina lake halisi ), ni mwanamke wa kitanzania mwenye umri wa miaka 43. Kwa sasa mwanadada huyu anaishi na virusi vya ukimwi. Mwanadada huyu anabainisha namna...
nimekaa ndaniya huu mji wa mabomu wiki ya pili sasa naona nakaribia kupata depression kwani niko mpweke. kwa wadada waliopo Arusha anayehitaji mtu wa kupeana kampani tuwasiliane kwa PM! Mimi ni...
Habar wakuu!. Nimejitokeza kwenu kuomba ushauri! Nina rafki yangu ana mke lakn hawajapat mtoto bado na mm nina girl friend huyu mke wa rafki yang na girlfrnd wang n marafki sasa...
Wakuu nilikuwa safarini,wakati tuko kwenye gari nilibahatika kukaa siti moja na msichana mmoja nikampa namba ya cm aliponibeep nikampigia akanimbia ni mwanafunzi wa form three ila ki ukweli ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.