Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
ujana enzi ya shida enzi yenye andamizi!
ujue waswahili wanasema majuto ni mjukuu! inatokea saa zingine unazini na mtu badae unakuja kujishangaa hivi ilikuwaje kuwaje...mpaka nikajiachia kwa huyu mtu..sijui ni mihemko au ni nini? yaani kabla unamuona mzurii..hujali cha afya hujali uzuri ! ila baada ya dhambi ..anakuwa mbaya kuliko watu wote duniani...ila ndo hivo..lishatokea limetokea.
sasa wewe ukitaka usiwe mtu wa majuto kijana mwenzangu....wewe pima afya yako hata mara nne...weka majibu mezani
unadhani ni rahisi kujiachia achia ovyo accidentally?hata kama una mihemko...maybe mtu kakutokea ukasema ngoja nimpe hadi muende kupima wapi wapi akili itakuwa isharudi...mihemko imeisha ..mawengewenge nayo yameisha na utaona kwamba hili jambo nalitaka kufanya sio ...hata mtu mwenyewe utakuwa ushamuona mbaya...ila kama hujapima hutakubali tu si unajua tena kama hujui afya yako kwanza mwenyewe hujiamini?
NAWATAKIENI WKEND NJEMA... MIMI NIPO HAPA.....