Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

natafuta rafiki wa kike(for long term friendship) mweye sifa hizi;awe mkristo(thehebu lolote) elim kuanzia fom four, awe mrefu, mweusi au maji ya kunde,mwenye malengo ya maendeleo,katu asiwe cha...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Habari, Mie nimfanya biashara za kawaida. Kabila Mmanyema mwenye asili ya Kigoma Nipo Zanzibar kwa miaka kama 12.mwanzo niliajiriwa kisha nikajiajiri mwenyewe. Nia watoto wawili wote wapo Dar...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta binti ambaye baadaye anaweza kuwa mke, preferably ambaye yuko USA ningependelea sana awe anatoka karibu na Atlanta sababu hayo ndio maeneo yangu but popote pale USA unakaribishwa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ninatafuta mwanamke wa miaka 30-38 kwa ndoa kwa wanaishi DAR tu.mm nina miaka 38
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani habari za wkend, hope jumapili ni njema,Mungu awabariki sana leo ni siku ya kusameheana bila hiana. Ok... Napenda kutoa shukrani zangu kubwa kwa Muandaaji/waandaajai wa ile kitu ya jana...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
hi jf, accordng 2 ma personal point of view me naona suala zima la uzinzi kat ya hizo pande mbili ni sawa kuliko kutupia lawama jinsia moja eti ndo malaya(either women or men), 2kisema wanaume...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf mimi huwa najiuliza always kuwa mwanamke mzuri huwa anapatikaje either kukutana nae kwenye gari,kukosea namba au kwenye mitandao ya kijamii(facebook,twitter,jf,nk) kwani nimekuwa nikipata...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hata kama ni wivu but this is too much kwa kweli!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wazee wengine bhana wanajivunjia heshima wenyewe, nlikua namuheshimu sana lakn sasa hata nkimuona naskia kichefu chefu, aliyesema "All men ar dogs" hakukosea kabisa, huyu mzee mkubwa kuliko hata...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Habari wanajamvi! Leo naleta kwenu ujumbe kwa wote wanaotaka kuoa na kuwakumbusha wale walioko ktk ndoa. Ndoa ni patanisho litokalo kwa mungu. Mwanadamu huzaliwa mungu akiwa katikati yake na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wanaJF Hii habari ni ya kweli na imenitokea si mara moja bali ni mara kadhaa na hadi sasa inaniogopesha kuwasiliana na marafiki zangu wa zamani. Wakati nasoma sekondari na chuo nilikuwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Dear Friends, This is the most important issue you will ever have to consider in your life, it's also the most direct and straightforward message you will ever hear! God planned it that way...
2 Reactions
6 Replies
972 Views
IGWEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!! Nakubali im guilty as charged pia kwenye hii shutuma!!!!!!! Ila nimekuwa najiuliza ni Zambi au sio zambi? Ni sahihi au sio sahihi? Kuna hii tabia ya mdada au mmama...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Msaaada haraka nipo kwenye basi Nikitoka Dom mjini kwenda Kondoa nmekaa na mtoto wa kirangi hapa na nimemwelewa sasa jinsi ya kumuanza tatizo Msaaaaaada plzzzzzz
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nawakaribisha kina dada wote wanaotaka mtoto ili walee peke yao kama upo tayari ni email allankisojoko@gmail.com
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni ujana tu jamani. Ninao wachumba 3. 1. Anafanya kazi bank. Si mrembo sana ila ni wife material. Ana muda mfupi kaanza kazi. Tatizo ni kuwa anaondoka asubuhi sana, na kurudi usiku. Wakati...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshima mbele wanajamvi, Wakuu natafuta mama wa umri wa 45-50 mimi nina umri wa 30-35. Awe na mkwanja wa kutosha yaani mupunga (Hela). Ni kijana mwenye nguvu za kutosha katika mambo yetu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Believe me; Ninafanya kazi shirika fulani la kimataifa. Dada mmoja mzuri na kafungashia,nilimchukulia kama dada yangu. Alinisaidia kupika na tulishauriana vzr maisha kama ndg. Siku moja aliacha...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Madereva wa bodaboda wafanya ngono na wanafunzi, walimu na wake za watu,kunaukwali wowote? ========= Madereva wa bodaboda licha ya biashara ya kusafirisha abiria, wamezua tabia nyingine ya...
0 Reactions
82 Replies
25K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 23 lakini nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake walionizidi umri na umbo,nawapenda wanawake wanene wenye makalio makubwa,naombeni ushauri wenu nifanyaje...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom