Asikudanganye mtu hakuna binadamu aliye single kwenye mahusiano!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,938
Kumekuwa na mijadala mingi humu jamvini inayohusiana na mahusiano hasa kwa wadada/wababa ambao hawajaolewa/kuoa, waliolewa/walioa au ambao wamekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya mwanamke/mwanaume mmoja. Ambao mijadara mingi ina kuwa kwenye mlengo hasi wa mahusiano kuwa mahusiano mengi hayana uaminifu. Wengine wamefika hatua ya kutangaza humu kuwa wanafurahia maisha ya kuwa single baada ya kub uruzwa/kuburana kwenye mahusiano kwa muda mrefu.

Hakika nakuapia wapenda tusindanganye hakuna mwanamke au mwanaume aliye single kama kweli katika mahusiano yako ya nyuma ulishawahi hata siku moja kuona raha ya kuwa na mahusiano.

Ukweli ni kwamba leo utamwambia yule mliyehitilafiana kwenye mahusiano yenu kuwa tuachanane kila mmoja achukuwe time yake, wakati huo huo usipotongozwa au kutongoza huoni raha...

Asikwambie mtu mahusiano yana raha yake changamoto zipo lakini ndio zilitufikisha hapa,ndio hizo zilikusababishia baba na mama wakakupata,ndio hizo zinazoendesha dunia hii.

KWA KWELI SIWEZI KUWA SINGLE HATA NIKITENDWA KIVIPI KWA KUWA SIJAWAHI KUWA MKAMILIFU NA SITAKUJA KUWA MKAMILIFU KWA KUWA NAMI KUNA WATU NIMEWAKOSEA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE.
 
Naona Bwana Akili Unazo hiyo unatupa story yako, seems like imekutokea vile au umeshindwa kujikaza ndugu?
Mbona inawezekana sana tu, wengine mbona tuna-maintain kua single na tunakomaa na maisha yanaenda safi tu, hadi ntakapohitaji labda kuoa hapo mbele kidogo
 
Upo sahihi kabisa kila mtu anamapungufu yake lakini kuna watu wamezidi katika hali ya kawaida hawalekebishiki ni kama mzigo katika jamii
 
Mkuu Akili Unazo! kama unavyosema kuwa kila mtu ana mapungufu yake bila shaka mapungufu yako ni kutotaka kuamini kuwa jambo usiloliweza wewe basi kila mtu haliwezi, hayo pia ni mapungufu yako.

Kama unadhani mtu anaweza kurekebisha mapungufu yake naamini iko siku utaamnini kuwa inawezekana mtu kuwa single hadi pale atakapooamua mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni mtazamo wako.

na ststus hubadilika, unaweza furahia kuwa single leo, baadae ukawa dabo, baadae ukawa album, na ukajikuta single tena.
 
Kweli kabisa hamna aliye singo katika swala la mapenzi.. ukiona hujisikii kuwa na mtu duniani basi ujue una mahusiano na pepo mahaba au ndio umejinasisha kwa Mungu moja kwa moja kama ilivyokuwa kwake tunayemuamini Yesu.
 
Kumekuwa na mijadala mingi humu jamvini inayohusiana na mahusiano hasa kwa wadada/wababa ambao hawajaolewa/kuoa, waliolewa/walioa au ambao wamekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya mwanamke/mwanaume mmoja. Ambao mijadara mingi ina kuwa kwenye mlengo hasi wa mahusiano kuwa mahusiano mengi hayana uaminifu. Wengine wamefika hatua ya kutangaza humu kuwa wanafurahia maisha ya kuwa single baada ya kub uruzwa/kuburana kwenye mahusiano kwa muda mrefu.

Hakika nakuapia wapenda tusindanganye hakuna mwanamke au mwanaume aliye single kama kweli katika mahusiano yako ya nyuma ulishawahi hata siku moja kuona raha ya kuwa na mahusiano.

Ukweli ni kwamba leo utamwambia yule mliyehitilafiana kwenye mahusiano yenu kuwa tuachanane kila mmoja achukuwe time yake, wakati huo huo usipotongozwa au kutongoza huoni raha...

Asikwambie mtu mahusiano yana raha yake changamoto zipo lakini ndio zilitufikisha hapa,ndio hizo zilikusababishia baba na mama wakakupata,ndio hizo zinazoendesha dunia hii.

KWA KWELI SIWEZI KUWA SINGLE HATA NIKITENDWA KIVIPI KWA KUWA SIJAWAHI KUWA MKAMILIFU NA SITAKUJA KUWA MKAMILIFU KWA KUWA NAMI KUNA WATU NIMEWAKOSEA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE.

Mimi tu, mimi peke yangu ndio nimebaki single.....!
 
Ina maana unatangaza kuniacha???? Plz baby,

Naomba nikuimbie wimbo huu labda utapiga moyo konde,

............. kuliko kuondoka wakati moyo wangu bado unakuhitaji charminglady .....utam wa mapenzi ..
 
Naona Bwana Akili Unazo hiyo unatupa story yako, seems like imekutokea vile au umeshindwa kujikaza ndugu?
Mbona inawezekana sana tu, wengine mbona tuna-maintain kua single na tunakomaa na maisha yanaenda safi tu, hadi ntakapohitaji labda kuoa hapo mbele kidogo

Yaa,u a ryt mkuu, hakuna linaloshindikana ukiamua!so hata kuwa single kunawezekana!
...mbona watu tupo single na tunamaintain mpaka atakapotokea huyo mume/mke
 
Mkuu Akili Unazo! kama unavyosema kuwa kila mtu ana mapungufu yake bila shaka mapungufu yako ni kutotaka kuamini kuwa jambo usiloliweza wewe basi kila mtu haliwezi, hayo pia ni mapungufu yako.

Kama unadhani mtu anaweza kurekebisha mapungufu yake naamini iko siku utaamnini kuwa inawezekana mtu kuwa single hadi pale atakapooamua mwenyewe.

Nimekupenda bure!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom