Namna ya kuwa mwizi bila ya kukamatwa

Namna ya kuwa mwizi bila ya kukamatwa

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
1. Mara umalizapo kusoma txt mesej ya muasherati mwenzio futa
2. Ukisev majina kwenye simu yako tumia majina kama Fundi Bomba, Fundi friji, Mama wa TRA, na kadhalika
3. Siku ya mpambano msitumie pafyumu, na kamwe msitumie zile sabuni EVA zinazotolea bure gest.
4. Wanaume mkitoka kwenye eneo la tukio, ni muhimu kutafuta mahala penye watu wengi na kujichanganya kisha kumtaarifu waif kuwa uko huko, ukirudi na harufu ya ajabu inakuwa rahisi kujieleza wapi ulipata harufu hiyo..
5. Unapoamua kwenda kwenye tukio vaa kikawaida sio kutia mavazi ya ajabu inakuwa rahisi kuonekana na wambeya.
6. Matukio yawe yanapangwa siku na saa za kazi, hasa wakati wa mchana.
7. Usibadilike tabia ukisha pata mwenza wa pembeni, wajinga wengine huanza dharau nyumbani au ukali usio na sababu au hata kutokujali watoto.
8. Usianze tabia ya kuzima sima ukiwa home, kimsingi weka utaratibu wa simu kuwa silence siku zote, sio kuanza tabia hiyo ukipata kisamsing cha pembeni.
9. Usiruhusu urafiki kati ya mkeo/mumeo na rafiki zako.
10. Daima uwe unaongea mabaya kuhusu muasherati mwenzio ikiwa anafahamika hapo home, ikiwezekana mzulie kaskendo hata kuanzisha hadithi kuwa muhusika ana ngoma.

CC. Kaizer, Bigirita, Kongosho, Boflo, zomba, sweetlady, Crashwise
 
Last edited by a moderator:
mkuu kumbe nia yako ni kupromote uzinzi
 
  • Thanks
Reactions: awp
aiseeee babayangu ngoja niendelee kulima na kupalilia maindi
 
1. Mara umalizapo kusoma txt mesej ya muasherati mwenzio futa
2. Ukisev majina kwenye simu yako tumia majina kama Fundi Bomba, Fundi friji, Mama wa TRA, na kadhalika
3. Siku ya mpambano msitumie pafyumu, na kamwe msitumie zile sabuni EVA zinazotolea bure gest.
4. Wanaume mkitoka kwenye eneo la tukio, ni muhimu kutafuta mahala penye watu wengi na kujichanganya kisha kumtaarifu waif kuwa uko huko, ukirudi na harufu ya ajabu inakuwa rahisi kujieleza wapi ulipata harufu hiyo..
5. Unapoamua kwenda kwenye tukio vaa kikawaida sio kutia mavazi ya ajabu inakuwa rahisi kuonekana na wambeya.
6. Matukio yawe yanapangwa siku na saa za kazi, hasa wakati wa mchana.
7. Usibadilike tabia ukisha pata mwenza wa pembeni, wajinga wengine huanza dharau nyumbani au ukali usio na sababu au hata kutokujali watoto.
8. Usianze tabia ya kuzima sima ukiwa home, kimsingi weka utaratibu wa simu kuwa silence siku zote, sio kuanza tabia hiyo ukipata kisamsing cha pembeni.
9. Usiruhusu urafiki kati ya mkeo/mumeo na rafiki zako.
10. Daima uwe unaongea mabaya kuhusu muasherati mwenzio ikiwa anafahamika hapo home, ikiwezekana mzulie kaskendo hata kuanzisha hadithi kuwa muhusika ana ngoma.

Mwenyezi mungu akuhurumie
 
duu we kiboko, yaani nimecheka mno
 
hahaa unapokuwa muasherati,kumbe mwenzio ni muasherati zaidi

ulikolalia ye ndio alikoamkia!!!!!
 
Kwa kujali haki na imani za wengine hasa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu, kuna haja ya kuwa na "Halal Version of Jamiiforums" Dah! TIQO kabisa yaani umekaa, ukatathmini, ukapembua na kuona katika vipawa vyote ulivyojaaliwa na Mwenyezi Mungu, mbinu za uzinzi ndiyo zawadi pekee ya kutushirikisha mcnana huu?!
 
toba roho yangu we TIQO
ni nini kuwapa maujuzi wezi?
 
Last edited by a moderator:
1. Mara umalizapo kusoma txt mesej ya muasherati mwenzio futa
2. Ukisev majina kwenye simu yako tumia majina kama Fundi Bomba, Fundi friji, Mama wa TRA, na kadhalika
3. Siku ya mpambano msitumie pafyumu, na kamwe msitumie zile sabuni EVA zinazotolea bure gest.
4. Wanaume mkitoka kwenye eneo la tukio, ni muhimu kutafuta mahala penye watu wengi na kujichanganya kisha kumtaarifu waif kuwa uko huko, ukirudi na harufu ya ajabu inakuwa rahisi kujieleza wapi ulipata harufu hiyo..
5. Unapoamua kwenda kwenye tukio vaa kikawaida sio kutia mavazi ya ajabu inakuwa rahisi kuonekana na wambeya.
6. Matukio yawe yanapangwa siku na saa za kazi, hasa wakati wa mchana.
7. Usibadilike tabia ukisha pata mwenza wa pembeni, wajinga wengine huanza dharau nyumbani au ukali usio na sababu au hata kutokujali watoto.
8. Usianze tabia ya kuzima sima ukiwa home, kimsingi weka utaratibu wa simu kuwa silence siku zote, sio kuanza tabia hiyo ukipata kisamsing cha pembeni.
9. Usiruhusu urafiki kati ya mkeo/mumeo na rafiki zako.
10. Daima uwe unaongea mabaya kuhusu muasherati mwenzio ikiwa anafahamika hapo home, ikiwezekana mzulie kaskendo hata kuanzisha hadithi kuwa muhusika ana ngoma.

Hii inamfaa zaidi Zahra White.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwanini msiunde CHACHAWATA? Chama cha wazinzi tanzania? Naona una input nzuri za katiba yenu.
 
Kwa kujali haki na imani za wengine hasa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu, kuna haja ya kuwa na "Halal Version of Jamiiforums" Dah! TIQO kabisa yaani umekaa, ukatathmini, ukapembua na kuona katika vipawa vyote ulivyojaaliwa na Mwenyezi Mungu, mbinu za uzinzi ndiyo zawadi pekee ya kutushirikisha mcnana huu?!

it sounds better
 
Back
Top Bottom