Uongoz na na mfumo wa jeshi la polisi

Uongoz na na mfumo wa jeshi la polisi

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,271
Reaction score
13,429
Habar wakuu!. Nimejitokeza kwenu kuomba ushauri! Nina rafki yangu ana mke lakn hawajapat mtoto bado na mm nina girl friend huyu mke wa rafki yang na girlfrnd wang n marafki sasa tatzo nikwamba huyu shemeji yang ananishawishi nimzalishe yeye anadai mme wake hawez kumpa mimba hvyo wifi zake wanamsimanga kuwa wanataka mtoto na hawajawah kwenda kupma kujua nan mwenye tatzo! Yaan nakosa jibu ananijia usk na mchana kunitega chumban kwangu mme wake asipokuwepo lakn naogopa sana japo yeye anasema nimnusuru kwenye ndoa yake kwasababu mawif wanamgasi sana juzi kati alifkia mpaka kunililia machoz na kunishka uume wangu nimemsihi sana lakn hakubali kaniambia had sk zake kasema j2 ndio sk inayotakiwa nimgegede ili mimba itungwe. Sababu kubwa yakuniganda mm nikwamba mm na huyu jamaa tunafanana flan kuanzia kimo umbo mpaka baadh ya watu wanadhan sisi n ndg. Npen ushaur wakuu cjui nimgegede au nimkane
 
mhhhhhhh........watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!!!!!!!!!!!
Hivi unafikiri kuna vitu rahisi tu kama hivyo?.......anajiamini vipi kama yeye ni mzima au ndo anataka ajipime kupitia wewe?
Unaruhusu mpaka mwanamke akushike uume wako jamani!
Anakuletea majanga na wewe unayapokea kwa mikono miwili....shtuka.
 
Tafuna kabaang pia maana muda si mrefu na wewe watakutafuna so nyanya saana kama embe maana kifuatacho kwako ukijui...... Shitukaaa..... Bwana mdogo.......!!!
 
Mbona kichwa cha habari na contents haviendani?
 
mhhhhhhh........watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!!!!!!!!!!!
Hivi unafikiri kuna vitu rahisi tu kama hivyo?.......anajiamini vipi kama yeye ni mzima au ndo anataka ajipime kupitia wewe?
Unaruhusu mpaka mwanamke akushike uume wako jamani!
Anakuletea majanga na wewe unayapokea kwa mikono miwili....shtuka.
Ndio anachokitaka sasa ashike nini kingine????
 
UKIMWI ndugu. kabla ya kumgegeda pimeni afya zenu msije kutusumbua kuwa mnataka kuterminate mimba kwa ssb ya kuumwaumwa kwa vile CD4 zimeshuka.
 
mhhhhhhh........watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!!!!!!!!!!!
Hivi unafikiri kuna vitu rahisi tu kama hivyo?.......anajiamini vipi kama yeye ni mzima au ndo anataka ajipime kupitia wewe?
Unaruhusu mpaka mwanamke akushike uume wako jamani!
Anakuletea majanga na wewe unayapokea kwa mikono miwili....shtuka.

Anatudanganya huyu!
 
Hello mamiii.............muziwa wewe.teh teh teh

mie mzma huku ni
A%20S-heart-2.gif
NI KWA NEEMA TU
A%20S-heart-2.gif

umemjibu simple and clear,nimependaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom