Msaada

Msaada

Teamanaconda

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
602
Reaction score
569
Wakuu me ninatatizo moja,yani nikiwa kwenye majambozi goli la kwanza linawahi kutoka haraka sana,yani hata dk 5 hazifki kwa kweli,sio siri hii hali siipendi kabisa kwa kweli,yani nimejaribu kila njia nimeshindwa kw kweli naombeni msaada wenu
 
Sa we hutaki ushindi loh! Uwe unamwambia kipa adake kabla mpira haujafika golini!
 
Inasababishwa na kuwa na hisia nyingi, either ndio ulivyo(wapo watu wanazaliwa hivyo) au hujafanya mapenzi siku nyingi au umeanza mapenzi karibuni!
 
Km ndio umeanza mapenzi karibuni au hujafanya mda mrefu ni kawaida, hali itarudi kawaida!
 
huo unaitwa mzuka yani unakuwa na mzuka sana. kwanza ona kawaida tu.
pia ukiona wazungu wanakuja stop kwa muda kidogo kisha endelea
 
Kwa goli la kwanza au la pili ni kwa yote inakuwa hivyo?
 
Wakuu me ninatatizo moja,yani nikiwa kwenye majambozi goli la kwanza linawahi kutoka haraka sana,yani hata dk 5 hazifki kwa kweli,sio siri hii hali siipendi kabisa kwa kweli,yani nimejaribu kila njia nimeshindwa kw kweli naombeni msaada wenu

Ukijua unagemu piga VIROBA japo viwili, afu uone ukitega usiku ananasa asubuhi!
 
wenzio tuna maujuzi mpaka ya kubana au kuahirisha goli wewe unapiga premature khaaa!
 
Umejaribu njia zipi hzo zikashindikana ili upewe nyingne?
Ya kwanza niliambiwa wazungu wakitaka kuja nihamishie mawazo nje ya tendo,nimejarb hola,nimejaribu kujizuia wazungu wakitaka kuja inashindikana wanakuja ghafla tu,so nisaidie nyingine mkuu
 
Back
Top Bottom